Recent content by Lucas Julson

  1. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  2. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania SoC04 Malezi endelevu initiative (MEI) ni suluhu mzizi wa kujenga Tanzania imara na endelevu

    UTANGULIZI. MALEZI ENDELEVU INITIATIVE (MEI) ni wazo la kuandaa mfumo kamili wa kumlea Mtoto wa kitanzania kabla ya kuzaliwa, kuzaliwa mpaka utu uzima ili kujenga Tanzania imara na endelevu. MEI inalenga kumuandaa Mtoto katika nyaja mbalimbali kama; Kimwili Kiroho Kiakili Kiuchumi Kijamii...
  3. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Ahsante sana kwa nafasi hii Ninauliza Wizara ina mikakati gani madhubuti ya kutibu tatizo la single mothers na Single Fathers maana tunakoelekea inakuwa kama utamaduni
  4. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Msaada wa kuunganishwa group la wakulima wa nyanya 0752060960
  5. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Muungano ukivunjika na Zanzibar itavunjika

    Daaah, tuendelee kula mtori tu
  6. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Deni la Taifa limeongezeka hadi Tsh. Trilioni 79.19, bado ni himilivu

    Hivi ni fahari kufurahia hili la bado tunakopesheka ili hali deni linapaa??
  7. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Hoja ijibiwe kwa hoja, Safi sana Dr. Slaa
  8. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Wataifunga[emoji3]
  9. Lucas Julson

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo lolote la PC/device

    Habari, naomba msaada wa product keys for windows 7 professional
  10. Lucas Julson

    JamiiForums Tanzania Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Kama km ngp kutoka town
Back
Top Bottom