Recent content by Ltn Mnaa

  1. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Tunashukuru kwa kumtetea;ila Mwambie tunataka vyet ili tumuamini anachokifanya
  2. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Watu mlTE="Troll JF, post: 20373795, member: 272540"]Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, ameliagiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi hilo. Waziri Mwakyembe ameishauri pia BASATA kuondoa...
  3. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

    Mkuu nitajie kamstari kalikokukera ad humkosoe uyo mkuu
  4. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Mkuu wewe ni Mtanzania kwel? kama Mtanzania iko namna
  5. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Sisi tutaupiga tu mageton hakuna namna!TE="Usher-smith, post: 20352231, member: 299705"]Msanii wa kizazi kipya Emanuel Elibarik alimaarufu kama NEY wa mitego amekamatwa asubuhi hii huko morogoro Sehemu ya wimbo wa Ney wa Mitego: Hivi Uhuru wa Kuongea bado upo? Siamini nchi inaendeshwa kwa...
  6. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania BASATA: Wimbo wa WAPO wa Ney wa Mitego kufungiwa, hauna Maadili

    BASATA wamesahau hizi ni kikazi cha smartphones,kama mimi sijui last time kusikiliza redio ilikua lintushaipakua kitambo tunaupiga tu mageton,kwa kuahamtulipii kod,tutaupiga tu hakuna namna
  7. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

    kaa karibu na waridi unukie,icho ndo anachokifanya mnyakyusa kibonde,May be yuko na dream za kuwa mkutugenzi......!
  8. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Sasa mbn ya uyo jamaa imekua haraka kutoa tamko?ya wale wa clouds mlikaa kimya tu,au urafiki time?
  9. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Nani kasema wale waliomdhibiti Nape walikuwa ni askari?

    Mkuu umeteleza,fuatilia vzr structure za jeshi la polisi ndo utajua wale askr au laah!
  10. Ltn Mnaa

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye atishishiwa Bastola na kusukumizwa kwenye gari

    Unaelewa nn ukisikia kiapo cha utii?wanachokifanya hao ndo wanachotakiwa kufanya
Back
Top Bottom