Recent content by LTK

  1. LTK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pornography?

    Hayo mbona kawaida.. nafikiri watu wazima ndio wanazipenda sana na hata kuwachochea hata kufanya mapenzi kinyume na maumbile, maana wanayaiga yale wayaonayo kwenye izo movie
  2. LTK

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia ndevi kouta kwa wanawake

    Ngoja wataalamu waje. But waache kutumia migologo... maana hiyo ndio chanzo haswaa cha wao kutokwa na mindevu
  3. LTK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 27 yrs sina hata demu

    Anaweza kua naogopa kutongoza huyu mkuu! au kama ameisha wahi kucheza ile michezo ya bafuni ndio kabisaa... Maana ile michezo hutia sana hofu kwenye kutongoza na wakati mwingine inafanya mtu kutojiamini.
  4. LTK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania #kikosi cha mizinga#.....sitaki tena la mgambo limellia..........

    mh..... ..!
  5. LTK

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu gonjwa la UKIMWI

    Ukimyi kitu gani bana.... Unajua Ebora au Uti wa mgongo?
  6. LTK

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    There are currently 1158 users browsing this thread. (88 members and 1070 guests)
  7. LTK

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

    Hapana, sio wote wanakipenda. Kila kheri.. kila mtu ana kitu chake kina mpa raha wakati wa mambo yenu.
  8. LTK

    JamiiForums Tanzania Aliye tayari kuolewa na mimi anitext

    Duh...!
  9. LTK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 27 yrs sina hata demu

    Mkuu..! Ibadani watu wanachukuana sana.. tena kama walokole ndio huchukuana wenyewe kwa wenyewe, kama sio mlokole utatumia nguvu nyingi sana kumtia nyavuni ambae mlokole... na experience na hii watu
  10. LTK

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 27 yrs sina hata demu

    Mtaani hakuna hapo? Kazini na Unapo abudu napo hakuna pia? Kama hakuna kua mpole.. mda utafika wa kua na mtu sahihi
  11. LTK

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    mpododi kazi yake ni nini? Kichwa chako kimejaa vumbi tu... watu wanaangalia kichwani. Wachaga mbona wapo fresh tu... tatizo wewe unaonekana ni b****tch
  12. LTK

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    mpuuzi ni wewe. Unatukana na kukosa heshima kwa watu huku ukiwa haumtambui unae mtukana.. kichwa chako kimejaa vumbi
  13. LTK

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Tatizo watu hapa wana tazama upande mmoja. Jamaa hawezi kulupuka na kupiga risasi na kuua. Huyo mwanamke amezingua sana. Na hawa viumbe ni hawafai na hiyo ndio dawa yao, liwe na fundisho kwa wengine ambao si waaminifu na wakisapotiwa na mama zao kwa ujinga wanao fanya.
  14. LTK

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    wanawake wanazingua sana, na kufanya mambo yanayotia hasira at the maximum na matokeo yake ndio hayo. na hupewa vichwa na mama zao... na ilo liwe fundisho kwa wana wake wengine wenye tabia za kua kama vinyonga. R.I.P Mushi njia yetu ni moja.
  15. LTK

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mshahara wa Rais wa JMT ni sh 384/= mil kwa mwaka

    Kodi hakatwi, utendaji wako mmbovu, hicho anachopata hakistahili. Maana mtu anatakiwa alipwe kutokana na anacho kiingiza. Sasa huyu mkuu anacholipwa kinazidi utendaji wake.
Back
Top Bottom