Recent content by LSaint

  1. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Nina ndugu angu alivuta ist mwezi wa pili ilikuwa DYF. So DZZ mapema tu
  2. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Hio apo mkuu
  3. LSaint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka siku yako ya kwanza kufanya mapenzi? Ilikuaje?

    Nasubir ur story
  4. LSaint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeichakata Asubuhi hii kisa buku tano ya kwenye vicoba

    Kimasihara oyeee😂
  5. LSaint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Liverpool VPN fika apa 😂
  6. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Mrejesho takuletea soon🥱
  7. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    E tunaingia june apo kama saiv nimeona DZE
  8. LSaint

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Makala nzuri ila ingependeza kama ingeambatana na iko kitabu😁
  9. LSaint

    JamiiForums Tanzania Special thread: The Vatican secrets and treasures of the Holy City

    Poa mhubiri
  10. LSaint

    JamiiForums Tanzania Special thread: The Vatican secrets and treasures of the Holy City

    Daaah upo very much brainwashed na io biblia
  11. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Unaona sasa ilo la ulaya ni la wao kufikiria na sisi waafrica ni letu kufikiria,ukiangalia sasa hao wa ulaya dini saiv wanazikacha wakristo ndo kwanza wanafungisha ndoa za mashoga. Dini zao azituhusu sanaaa
  12. LSaint

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazoefu kwenye mahusiano naomba mnisaidie

    Aaah we kubali matokeo tu,muda nao haugandi we endelea na mambo yako potezea tu ishi kama akijawahi tokea kitu baina yenu,,,daaah ila lazma upitie heartbreaks za kutoshaaaaaaa kabla ya kufikabkwenye ndoa😂💔
  13. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Dini zipo ila ni za kwao na sisi waafrica tulikuwa na zetu izi zilizopo saiv ni mpya uwa najiuliza hao waafrica waliokuwepo kabla ya izi dini na wao wataona moto just because awakufuata maandiko. Na likija suala la kufunuliwa kimaandiko kwanini wasingekuwepo waafrica ambao wanatangaza dini za...
  14. LSaint

    JamiiForums Tanzania Special thread: The Vatican secrets and treasures of the Holy City

    Kwaio unamsubiri yesu arudi kumaanisha ndo mungu wako na akirudi ndo mungu wako kajifunua kwako😂😂😂 yaaani unashangaza na kuchekesha unamwamini yesu sanaaa kuzid ata mungu unaeamini yupo uoni kama ni upofu huo kwanini yesu asirudi na baba ake,umekaa kumsubiri mtoto ambae bila kujua ndo...
  15. LSaint

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Ety Mungu muweza wa kila kitu mjuzi wa kila jambo ata kabla ya kutendeka yaani aumbe mwanadamu ili aje amchome moto tena kwa kumpambanisha na uyo shetani aiseee inachekesha yaani waafrica wameshikilia haswa hizi dini na kuzifia na waliletewa aiseee smh😤
Back
Top Bottom