Iv Watoto Wa Huyu Braza Barack Wanasoma? Mana Muda Mwingi Wanakuwa Kwenye Ziara Na Mshua Wao Au Wanatembea Na Walimu Kwenye Air Force1 Ungekuwa Unajua Shule Wanayosoma Ingekusaidia Kidogo
man huu ni upuuz una mke nyumbandogo ya nn izo mechi za mchangan tuachie ss mabachelor pia ukimwi hauzuilik hata kwa kondom za bati dawa ni kuacha uasherat kondom zenyewe hamtumii kwa uangalifu sytle nying wakati yenyewe haiitaj usumbufu
Akiona Hiyo Ndogo Achana Nae Atakusumbua Huyo Kwan Iko Ni Kipimo Tosha Kuwa Ham endani Na Km Mnaendana Hamfanan Pia Shukuru Mungu Hajaoana Mana Akingekuwa Anatoka Hata Na Vizee Ili Vimkamilishie Haja Zake.mbona Wanawake Wako Weng Wavumiliv Na Wengne Wana Kaz Zao Na Pesa Zao Wanaitaj Wanaume Wa...
Kuna Jamaa Yang Nae Ni Teacher Yupo Chaka Moja Mbaya Ila Ye Aliingia Loan Km Mil4 Nmb Akanunua Mbolea Na Kuwakopesha Wakulima Kipind Cha Masika Kwa Malipo Ya Mahindi Kipind Cha Mavuno(na Kariba Ka30%) Kwa Kweli Alifanya Ivo Kwa Miaka Miwili Amepiga Pesa Nzuri Na Kuwekeza Zake Town Na Kaz Bado...
Tusimlaum Tu Huyo Mume Nawe Mke Heb Jichunguze Mienendo Yako Inawezekana Kuna Mambo Unayofanya Yanafanya Asikuage Pengne Hakuamin Akikuaga Unaweza Kupanga Mipango Ya Kumchakachua Ndo Mana Anakushtukiza Ili Usipate Iyo Nafas
Mi Nadhan Pinda Na Wazir Wake Wasione Kwamba Polis Wananguvu Sana Kupita Raia Wanatukamata Sabab Tunawaheshim Na Kuheshim Sheria Ila Kwa Kauli Hiyo Ya Pnda Kwamba Wapigen Tu! Itafka Hatua Wananchi Nao Watasema Km Mbwahi Na Iwe Mbwahi Afu Ndo Ataona Kati Ya Polis Na Raia Nani Mtemi Ukizngatia...
Mi Nadhan Pinda Na Wazir Wake Wasione Kwamba Polis Wananguvu Sana Kupita Raia Wanatukamata Sabab Tunawaheshim Na Kuheshim Sheria Ila Kwa Kauli Hiyo Ya Pnda Kwamba Wapigen Tu! Itafka Hatua Wananchi Nao Watasema Km Mbwahi Na Iwe Mbwahi Afu Ndo Ataona Kati Ya Polis Na Raia Nani Mtemi Ukizngatia...
Am a teacher na nauhakika wa kutengeneza 30elfu kila cku tofaut na salary na cku zingne zaid ya hapo MUNGU akijalia mara chache sana nimeshuka hapo unataka nikufundshe nlifanyaje?.hakuna mshahara unaotosha pia sio kwamba walim ndo wana salary ndogo kupita watumish wote wa serikal kwan hao polis...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.