MAMBO 10 NILIYOJIFUNZA KWENYE "SANAA ZA MAONESHO" ZA LOWASSA.
By Malisa GJ,
1. Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa...