Recent content by Lowarukerikeri

  1. L

    Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

    Alipata division one ya point tisa...akiwa na A ya Divinity
  2. L

    Mkuu wa Mkoa Tanga, Chiku Gallawa azuia Mshahara wa Maafisa watendaji

    Katika hali isiyo ya kawaida, Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. CHIKU Gallawa amesimamisha mishahara ya Maafisa watendaji wa Kata Mbili za Jiji la Tanga. Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya TBC1 ya jioni ya leo, ambapo Mkuu huyo alikuwa akikagua usafi wa mazingira jijini Tanga. Katika kufanya...
  3. L

    Rais Kikwete aagiza shule zote za kata nchi nzima kuwekewa Umeme haraka!

    Hili Agizo la Mh Rais, ni la kupongezwa kwani wakurugenzi wataanza kufanya swala la umeme kwenye shule hizo kuwa ni kipaumbele. Hivyo, kuanza kutenga bajeti ya solar ama ya umeme. Wasiojua mipango watabeza hili agizo na watadhani halitatekelezeka, lakini hakika umeme utawaka kwenye whule hizo...
  4. L

    Ufafanuzi kuhusu wafadhili kujitoa kufadhili shughuli za UKIMWI Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU WAFADHILI KUJITOA KUFADHILI SHUGHULI ZA UKIMWI TANZANIA Tume ya kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) – Tanzania imepata taarifa kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba wahisani wa shughuli za UKIMWI kujitoa kufadhili shughuli za UKIMWI kuanzia mwaka kesho 2014...
  5. L

    Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Ole Saidimu, Niliyoyajibu hapo juu ni kutoa uelewa wa Jumla juu ya Shughuli za TACAIDS. Wala sijitetei, ila mifano iliyotolewa na Mleta uzi kama mifano ya Sheydefa anayozungumzia, haikuwa na Mantiki kwani TACAIDS inafadhili Baraza la watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI linaloratibu masharika...
  6. L

    Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Ndugu Basiasi, Naona umeandika message yako bila kuwa na takwimu au facts kwa maneno mengine. Inaonyesha unaandika kama vile una chuki binafsi au kwa namna moja au nyingine umeshindwa kuzi-access funds za HIV and AIDS ili uweze kuzila. Naomba nikuelimishe kidogo kuhusu Kazi za TUME YA...
  7. L

    Sheikh Ponda na Hukumu Yake

    Alieanzisha uzi ametaka kupata maendeleo ya hukumu, wengine mnalumbana vitu visivyohusiana na uzi wenyewe. Kwani nini msisubiri tupate updates kutoka Mahakamani? Duh, Olowarukerikeri
  8. L

    Rais Mwinyi akilonga kuhusu uchinjaji

    Mzee Mwinyi nakupa Hongera kwa sababu unaonyesha Njia, unaonyesha njia ambayo wengine wanashindwa kuiona; Njia ambayo Mwalimu Nyerere na waasisi wengine kama kina karume wameitengeneza ili Watanzania wote waipite bila kupata misukosuko ya ajabu. Mzee Mwinyi ulipokuwa unaongea na waandishi wa...
  9. L

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Wana JF, Ni mara yangu ya kuingia hapa Jamvini, nabisha hodi. Leo nikiwa njiani kwenda kazini kwangu nimesimamishwa na askari wa usalama barabarani mara nne, na wote walikuwa wanalikagua gari. Wa. Kwanza aliangalia tu bima na motor vehicle akaniruhusu kuondoka, wa alinisimamisha km 4 mbele...
Back
Top Bottom