Recent content by Lovenita

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vyumba viwili mwenge vinahitajika

    meaning wewe una eneo zuri zaidi au
  2. L

    JamiiForums Tanzania Vyumba viwili mwenge vinahitajika

    nahitaji vyumba viwili vya kuishi maeneo ya mwenge mlalakuwa,mpakani au savei Maji yawepo na nyumba isiwe ya wapangaji wengi pia gari ifike bajeti 100-120,000 pia kama vipo maeneo ya ubungo Maji vitafaa thank you
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta vyumba viwili vya kupanga

    wadau natafuta vyumba viwili vya kupanga maeneo ya mwenge yanayotazamana name barabara za chuo na Sam nujoma. Maji yawepo na gari ifike bajeti yangu ni 100,000-120,000 contact 0718 587667
  4. L

    JamiiForums Tanzania Notice kwa mpangaji

    Naomba kuuliza notice kisheria kwa mpangaji ni siku ngapi?
  5. L

    JamiiForums Tanzania natafuta vyumba

    natafuta vyumba viwili na choo chair maeneo ya survey,mabibo hostel au Mlalakuwa visiwe bondeni gari ifike na isiwe mbali sana na barabara
  6. L

    JamiiForums Tanzania kwa wale wanaosoma vyuo vya uuguzi

    naomba contact za mkuu wa chuo cha uuguzi korogwe, same, mbulu na kondoa kwa mwenye nazo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya mwisho 9/11/2013.

    muitikio uko vipi mkuu na je hiyo laki nne ni kwa kozi gani
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Omega G Machange certificate
  9. L

    JamiiForums Tanzania udsm mwisho wa registration lini kwa first year?

    wadau mlioko hapo udsm bado nasaka hela ya ada nauliza mwisho wa registration ni lini?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kilichonifanya niichukie udsm

    how did it happen
  11. L

    JamiiForums Tanzania HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

    mimi wa diploma na baba sina na not secured
  12. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa:Hujabahatika kujua Majibu ya HESLB tupia namba yako hapa........

    The student with Index number 'S0353.0021.2004' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.
  13. L

    JamiiForums Tanzania kwa wale waliosoma BSc General UDSM msaada

    nashukuru sana ndugu yangu u deserve to be an expert sio wengine kazi kuponda tu na mimi najua umewasaidia wengi pamoja na hao asante sana kaka
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaaada mniangalizie mkopo s3402/0040/2010 Nuru iddi

    The student with Index number 'S3402.0040.2010' did not secure a higher education loan for 2013/14 academic year.pole sana nuru
  15. L

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    hongera saaana
Back
Top Bottom