Recent content by lovelymama

  1. L

    Wabunge wa CHADEMA wamkaribisha Lowassa

    Hakuna kitu chanamna hiyo kuwa cdm Kuwa wa namchukuwa lowasa ccm muendelee naye
  2. L

    Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

    Safi sana mama yangu karibu sana ukawa wewe ulikuwa unatisha bungeni hukuwa unasema ndiyooo kama watu wengine you are intelligent keep it up
  3. L

    CCM kumtembeza Magufuli Mikoani kwa kutumia ndege ya Serikali ni Sahihi?

    Wao wameisha Anza kampeni wakati vyama vingine bado utambulisho gani huo si wanamufahamu tumechoka kumuona kwenye runinga kila siku hana mvuto
  4. L

    Ester Bulaya aitosa CCM, asema hawezi kuhonga

    Hongera Ester bulaya kwa uuwamuuzi wako kama ni kweli you are acute the
  5. L

    Lowassa ni taasisi isiyo rasmi

    Kwa kweli kwa mtindo huu hatutafika popote ccm hizo pesa mnazo hongwa kwa kila kitu form za kugombea mhogwe ajira hivyo hivyo hamtosheki ni watu wa haina gani nyie
  6. L

    Lipumba usiwe na ubinafsi kama Lowassa

    Ni kweli kabisa professor hauziki amwachie Dr slaa ambae anakubalika big up
  7. L

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Ngwanapag wana ccm walilia machozi pale Dom na kuchoma kadi za ccm napo alitolewa kwahiyo unataka ukawa wafanye hayo makosa hatuhitaji hata senti ya wizi ukawa hoyeee
  8. L

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Kwanini hamkuchagua ccm kama alikuwa mzuri kuliko magufuli makamanda lowasa hana jipya slaa anafaa sanaa tu
  9. L

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Mbona una kiwewe mjueni wawatatangaza na tutsmuunga mkono endeleeni makamanda tupo pamoja sana
  10. L

    Joseph Mbilinyi mbunge wa mbeya mjini alivyoshindwa kutekeleza ahadi zake

    Ww unaye mubeza sugu Nanna unavurugu za maono sugu noma twachie wana mby
Back
Top Bottom