Recent content by lovel

  1. lovel

    JamiiForums Tanzania Daktari wa Moyo: Wanaume na Vijana wanaochanganya Mo Extra na Panadol ili kuongeza nguvu za Kiume, muda wowote Wanakufa

    Hebu be honest....unaweza kaa muda gni..hata mwezi miezi??bila bila?
  2. lovel

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na wake wengi kabla sijaokoka, sasa nimeokoka. Je, niwaache?

    Mke wa kwanza ndio mke halali.... Wengine endelea kuwatunza watoto wao...wenyewe wape uhuru wakafanye yao ht km kuolewa upya
  3. lovel

    JamiiForums Tanzania Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Ungeenda wewe sasa ..unaachaje mtto anaenda...ungemwambia baki nitumen mimi...sasa unaina kbs dogo anaenda we unaangalia tuu.....
  4. lovel

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mfumo wa kupata TIN Namba (TRA) una shida, unatengeneza mazingira ya kutoa rushwa

    Brella haina shida..ujaze tu vzr...issue TAUSI na TRA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. lovel

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Ndio yule white[emoji16]...ulikua unamsifiaga enzi hizo
  6. lovel

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Imekuaje tena bwana E .... Mara hii unaona ubahili...dem ushamchokaa tafuta jiran
  7. lovel

    JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

    Shogaa at work
  8. lovel

    JamiiForums Tanzania Si niliwaambia msioe! Kwanini mnaoa wakati Kuna kudhulumiwa humo?

    SHOGA AT WORK.... tushawajua..kataa ndoa wote ni mabwabwaa.
  9. lovel

    JamiiForums Tanzania Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    Tuliachana wkt tuna date... tena ni sababu tu za uchonganishi.....lkn sikuwah ona upendo wake ukipungua since then.na hakuwah kuacha kunipenda.. Akafight kurudi nikakubali ...hakupoteza muda akatangaza ndoa[emoji3059]...
  10. lovel

    JamiiForums Tanzania Wapi napata Mashine za kunyolea za WAHL?

    Kkkooo.mtaa wa msimbazi...maduka kibaoo wanaouza vifaa vya saloon..i.got one.from there ya mwanangu
  11. lovel

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba hanipendi namfosi au??

    Matumiz na mahitaji anatoa? Km anatoa live ur life enjoy..life is short wewe
  12. lovel

    JamiiForums Tanzania Ex harudiwi. Ilikuwaje ulipomrudia Ex wako? (Ushuhuda)

    It depend mmeachana kwa sababu gani He is my husband...and having 3 kids with him[emoji38] Sioni tukiachana..his love for me is un explainable Angerud ningekataa ingekula kwangu...sijqkutana na wa kunipenda km yeye...wengi matapeli na watumiaji
  13. lovel

    JamiiForums Tanzania Dar: Ugumu wa maisha wasababisha sikukuu ya Christmas kudorola, Makanisa yakosa sadaka

    Mahali nnako sali ..kawaida xmass panajaa saaana...ila this tym ibada kns hamna watu.....
  14. lovel

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Kwani hawa .wameona tu na kuwa marais hapo hapo There was life before hukooooo ..elewa mama
  15. lovel

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imekuwa ngumu, misafara ya Viongozi inatesa wananchi

    Eti jamani helicopter zina shidha gn..wapande humo
Back
Top Bottom