Biblia inasisitiza sana kusameheana na inasema asiye samehe wengine bila kujali aina ya kosa, basi hata yeye Mungu hatamsamehe mtu huyo.
Kuhusu kisa cha hawa wawili, Flora ndiye aliye mwacha Emma, wakati ule Emma alimbembeleza sana Flora wasahau tofauti zao warudi waishi kwenye ndoa yao lakini...
Sijakurupuka, nimefanya research ya kutosha juu ya uelewa wao katika age tofauti tofauti, na suala zima la uzazi ulio salama zaidi kwa mwanamke ni ktk age ipi ndiyo nikafanya maamuzi. Mabinti wa siku hizi wanafahamu mambo mengi sana juu ya mahusiano kuliko unavyo dhani.
Niwasiliane naye wa nini wakati yeye mwenyewe aliondoka na kumwacha mtoto, nikawa ndiyo baba ndiyo mama, nimepata taabu sana ya kulea lakini Mungu amenivusha.
Pili hakuna ugumu kabisa wa kupata wasichana wasio na watoto. Mbona wengi tu.
Kanisa la Mungu liko duniani kote, nina maana waliookoka hawapo kanisani ninapo sali tu, ila duniani kote, hivyo naweza pata mke toka popote duniani. Si amri ya 11 kuwa lazima nioe kanisani ninapo sali tu. Na si kwamba wasiookoka ni wabaya hapana. wapo wadada hawajaokoka ila wana hofu ya Mungu...
Huo ni mtazamo wako. Kisheria anayepaswa kutoa huduma za mtoto ni baba. Na mimi sitimui mke labda ajitimue mwenyewe. Na kama nikifanya hivyo si qualify kuoa tena, maana nitakuwa na hatia. Biblia inasema yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndg mme au mke yu huru. Huyu...
Hakuna ubinafsi hapo! Mtoto huwa ni wa baba, hivyo sihitaji kuingia mashaka kisa eti baba wa mtoto ana mazungumzo na mke wangu. Na kwa walio wengi utakuta kigezo cha mtoto kinawarudisha kwenye mahusiano. Upande wangu toka huyo mwanamke aondoke nilikata mahusiano kabisa, na haitakuwa tena, sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.