Recent content by Mkweche II

  1. Mkweche II

    Tabia za mwanamke wa kigogo

    Kuna mmoja hapa naweza mnyandua muda sio mrefu
  2. Mkweche II

    Haya maji yanayong'arisha Wasanii ni yapi?

    Nunua sim tank jaza maji Kisha anza ku nywa
  3. Mkweche II

    Dark days 17/03/20...

    Mzee heshima yako
  4. Mkweche II

    Bahati haijirudii mara mbili TID huu ndo mda wako

    daaaaah ila naona huyo jamaa na mwenzie yule mlalamishi kama vile uzee una wanyemelea
  5. Mkweche II

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Hivyo nilikuwa naenda usiku kulala kwake na siku nisipoenda basi nilikuwa nampigia simu huyo mpenzi wangu tunazungumza hadi usiku wa manane. pia nilimpenda mno mtoto wake mdogo, nilikuwa nampelekea vizawadi zawadi nikienda kulala, nacheza nako in short ni kacheshi mno kale katoto na kalinipenda...
  6. Mkweche II

    Kwanini madhehebu mengi ya kikristo tunafumba macho wakati wa kusali?

    Wanaogopa wasimuone ibilisi wakati wa kupambana nae katika maombi
  7. Mkweche II

    Katibu Mkuu CCM kumpinga RC Arusha kimafumbo anataka kumfurahisha nani?

    We Jamaa toka uote ndoto ya kugongwa na nyoka kichwani naona akili umepoteza
  8. Mkweche II

    Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Hao bila Shaka ni walimu wenzio watarajiwa. Any way Mkuu ulipotea sana
  9. Mkweche II

    Wilaya ipi nzuri ya kuanzia maisha mwanza

    Nenda kishiri(igoma), sawa juu au sawa chini Fungua duka la spea za piki piki na gari.
  10. Mkweche II

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki mbili?

    Nenda hapo kigonsera au mkako Uwe chinga wa mahindi kutoa maeneo hayo kupeleka hapo songea mjini
Back
Top Bottom