Recent content by Lotisia

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kama Florentino Perez, Usajili wa Mghwira na Mkumbo waizika rasmi ACT Wazalendo

    Ccm wanatafuta coalition baada ya kuona hali ya hewa ni ngumu. Maji shingoni eti.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa kiongozi katika vyama vya Upinzani Nisingetia timu Uchaguzi wa 2020 JPM kakaba kona zote

    Mbona naona ni kinyume matarijio yako wewe Bashite namna 2?! Ccm wangejua wasingedhubutu kuweka milonjo yao kwenye uchaguzi huu. Watafyekwa kama majani.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini rambirambi igeuzwe chanzo cha mapato ya serikali badala ya kodi??

    Bollen Ngeti kada mtiifu wa ccm anaandika kuhusu Rambirambi Arusha WANA CCM wenzangu, hiki tunachokifanya hakina baraka za Allah/Mungu/Yehova/ Nyasaye kabisa. Hebu tulitafakari maana sidhani kama ni ubinadamu. Huu ni utapeli ndugu zangu tusiunge mkono hata kama nia ni njema kiasi gani...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mbunge wa Segerea wakati huu wananchi wako wanateketea?

    Ccm inawenywe bana.
  5. L

    JamiiForums Tanzania RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

    Wamekosa hizo sasa zinawauma sana.
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM 2020 kuna uwezekano mkubwa wa kushindwa kuliko 2015! Hakuna dalili za ushindi kabisa.

    Ccm itakufa sio kwa sababu tu haijaleta maendeleo Bali hata kwa sababu ya ubabe wa viongozi wake, wanajifanya wanajua kuliko wananchi waliotoa kura zao. Wanaona kuwa ccm imefunga ndoa isiyo na talaka na nchi hii au kama vile wamepata hati - kama ni hati miliki nayo inaweza kubatilizwa pia...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tumenyamaza ili utende. Unataka 'tuku-drive'?

    Kumbe utumiaji wa bastola kaanzisha yeye. Ndiyo maana bashite naye anatumia bastola.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Siku niliyonawa mikono kama Pilato juu ya Rais Magufuli

    Ndugu yangu huyo anakula na munene kwa hiyo hana namba anayoisoma.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Ni kweli Tanzania imenunua ndege ya Boeing 787-8 yenye line number 719

    Magufuli kupitia Bashite anaiba fedha za taifa hili.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kusema kuwa waliomchagua Lowassa wanajua ukweli kuhusu Richmond ni kuwadhihaki watanzania

    Mtoa mada ni msanii kama wasanii wa kawaida wanaojua kuigiza. Ila tafauti ya huyu ni kwamba anatafuta kiki ya kupita. Wamemshindwa Lowassa kwa kila njia wamemtafuta kila upande kila njia kila kona lkn wamemkosa sasa wameaanza misengwe mwingine.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya sembe yapaa zaidi. Kiroba cha 25kg ni shilingi 48500 - 52500. Serikali iingilie kati

    Sio Ruangwa tu, hata huku Arusha gunia la mahindi shilingi lako moja na elfu themanini (180,000). Mungu turehemu.
  12. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunawajibika kumuomba radhi Rais Magufuli kama tunataka kufika salama 2020

    Duh! Huyu kada wa chadema kweli - angalia basi mnapotakualharisha miharo yenu kumbukeni makosa madogomadogo yanaweza kudis-qualify post zenu. Magamba ndiyo wenye makada, sisi tuna Makamanda hivyo uliyepost ni Kada wa ccm ulitaka kupenyeza uharo wako. CDM ya sasa mliouzoea. CDM ya sasa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye tabia, mawazo na misimamo kama ya Magufuli ndio alipaswa kumrithi Nyerere

    Kweli ukiwa na shibe hujui shida ya mwenye njaa. Kweli leo ngunia LA Mahindi shilingi laki mbili na wala hazipatikani bado tunasema serikali inafanya kazi. Kweli Mungu anawaona ninyi. Lakini pia mtukufu sana huyu anatakiwa kujua kuwa watu wengi wanaoishi kijijini ndiyo waliompa kura na sio...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Huyu atakuwa amkutwa na jambo kati ya haya: 1) ametishiwa kutekwa 2) amegundua kuwa bashite ni ndugu yake 3) Koromije inamhusu 4) buku saba kashampitia 5) kapewa kazi ya kudeki njoo cha bashite 6) au hamnazo tu. Kwa hiyo msameheeni tu.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Tena kiazi mbata kabisa.
Back
Top Bottom