Mh lowassa nataka nikuambie kuwa wengi walikuchagua kwa sababu zifuatazo:
1.yawezekana wako waliyokuchagua kwa sababu walizazimishwa na wakuu Wa dini aidha kwa mahubiri yao kwa kuichukia CCM kwa sababu ya ufisadi uliyoshiriki mwenyewe
2.yawezekana wako waliyokuchagua kwa sababu walikosa matumaini kwa CCM baada ya ufisadi uliyoshiriki kwa miaka mingi tangia enzi za Mwalimu Nyerere
3.yawezekana wako waliyokuchagua kwa sababu walihongwa ili wakuchague
4.wako waliyokuchagua kwa sababu ya kushabikia chama lakini siyo kwamba walikubenda
5.wako waliyokuchagua kwa sababu ni wapenzi Wa chama tu lakini sikwamba walikupenda!
6.wako vijana waliyokuchagua kwa sababu hawakuwa wanatumia akili kufikiri
Mwisho ni seme kuwa wako hawakukuchagua kwa sababu nao wanajua ukweli si juu ya Richmond tu bali wanajua ukweli juu ya tabia nyengine za kifisadi tangia enzi za Mwalimu Nyerere .hawa wanaipenda nchi yao!!ndiyo hao million 8 waliyomchagua bulldozer,jembe,mzalendo Wa kweli,mwanaume Wa ukweli,kipenzi chetu ,rafiki yetu ,mtu wetu,rais wetu JPM!