Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,820
Hali ya maisha katika jimbo la segerea imebadilika wananchi wanaotokea jimbo hili wanatekea na wamekosa mtetezi wa kuwatetea tunavyozungumza sasa
1.maeneo ya kata ya buguruni, mnyamani, tabata relini, vingunguti, kipawa, uwanja wa ndege hadi tunavyozungumza hadi sasa asilimia kubwa wananchi wanalala njee na wengine wamekosa makazi kutokana na bomoa bomoa iliyotokea hivi majuzi....
2.mpaka sasa kuna watu wameshapoteza maisha kwa ajiri ya presha ya kubomolewa.
Wakati figisu figisu hii ya bomoa bomoa ikitokea jimbo la segerea huko katika jimbo la KINONDONI NA JIMBO LA KIBAMBA .
Mbunge maulidi mtulia wa cuf na john mnyika wa chadema napongeza kwa kuwa walikwenda mahakamani kupinga na kuzuia na kufungua kesi wananchi wao wasibomolewe. .. ....
Wakati mnyika na mtulia wakipambana huku jimbo la segerea mbunge wetu bonna kalua kama yupo kimya hata kuwatembelea wananchi wake kutoa hata pole au kuwapa moyo.
Wana jf maombi yenu juu ya jimbo la segereaa