Poleee sana mimi ninachokushauri usikate tamaa maana hiyo ndo ulimwengu wa mapenzi ilivyo lakini 1 day utakuja mpata yule uliyepangiwa na M ungu uwe naye katika maisha yako yote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.