Ndio ni lazima Kuna fomu za kujaza pale japo unaweza kujisajili kupitia *150*82# au app Yao but utaweza kuweka pesa tu ila ishu za kumfatilia maendleo ya vipande vyako na ukitaka kutoa itakua ngumu
Ajira pekee ambazo zinategemea ufaulu wa GPA ni zinazohusu kufundisha vyuo lectures hao tutors huku kwengine ni soko huria inatagmea na bahati yako tu plus maandalizi story ni nyingi ila ukweli na uhalisia ni tofaut wew muhim andaa cv vyeti viandae vipigwe muhuri wa mwanasheria jisajili...
Kuna jambo lipo hivi....tujaribu kuwaza hao wanaotenda ubaya dhulma Kuna eneo la pili husaidia watu na huo upande wanaonekana ni malaika so sisi waliotudhulum tukiwaombea mabaya Kuna upande wanaombew mema...then hata sisi ambao tunatendew ubaya Kuna angle pia tunafanya mazito ya kuumizan
Kila siku serikali za wanafunzi wa vyuo vikuu zinatoa pongezi Kwa mama juu ya swala zima la kupewa mikopo inapokuja hoja kama hiyo ya kukosa pesa za kujikimu ni kipengele Sasa Kam viongozi wenu ambao walipaswa kuwapigania ndo wamelamba asali muendelee kuvumilia mvumilivu hula mbivu
Shida ya loan board kiuhalisia wanafanya biashara kichaa wanakopesha pesa hazirudi Kwa wakati now Kuna ishu ya wote wapate mikopo that's why ni ngumu kupata asilimia 100 au kupata tu asilimia chache serikali ijitafakari Kun namna waliopata mikop wangezingatiwa kwenye ajira za serikali pesa ya...
Shida ni ushindani mkubwa vyuo vya serikali lakini kama ungeaply kozi tofaut na MD ungetoboa muhas wana AUDIOLOGY and speech therapy pathology pia Kuna radiology,au pharmacy,,,pia Kuna chuo kama suza na st Francis jipe muda kuaply mwakani ndoto yako isiishie kati then Kuna scholarship za Chinese...
Raisi Samia katoa kibali cha ajira 400 Kwa walimu wa biashara ambao watatumia mtaala mpya katika kufundisha masomo ya biashara lengo kubwa ni kutatua tatizo la ajira je
1.wahitimu wa hayo masomo ya biashara wataaminiwa na kupewa mikopo na taasisi za fedha kama watahitaji iyo mikopo?
2.kuna...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwapa zawadi ya Tsh. milioni 700 Taifa Stars baada ya Tanzania kufuzu AFCON 2025 ambayo michezo yake itachezwa Morocco.
Akiongea na Wachezaji wa Stars Jijini Dar es aalaam leo November 19,2024, Waziri Ndumbaro amesema “Rais Samia alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.