Recent content by Losambo

  1. Losambo

    Arusha: Monaban Kuvunja Chungu kwa waliokula unga

    Avunje tu sidhani kama ni issue kwetu
  2. Losambo

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka,
  3. Losambo

    Majimbo walioshinda CHADEMA ni uwekezaji wa Slaa na CHADEMA asilia

    Na walioshindwa CCM ni uzembe wa serikali ya JK na siyo nguvu ya Magufuli.
  4. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Kumbe ni group moja na Mzee mwanakiji! Kususia mabadiliko ni ujinga maana hayazuiliki.
  5. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Ni kweli na macameramani hakuwa mbali na jukwaa ndiyo maana sauti ilisikika vizuri kwenye video.
  6. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Ulimsikiliza Mbowe wakati anaongea?? Unajua position ya camera inayodai kuisikia kwenye video ilikuwa wapi??
  7. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Kesho mafuriko kama kawaida.
  8. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Mambo ya kuunga unga hayo, mwisho wa uongo ni aibu.
  9. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hayo ni baadhi ya manyang'au ambayo hayawezi kuelewa kutokana na kuweka ushabiki mbele.
  10. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Ukweli kwani mpaka uuweke wewe? Hivyo ni kwa mujibu wa vyanzo ambavyo havina mawaa.
  11. Losambo

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Wadau wa JF na wote ambao mtasoma uzi. Kuna uzi umeanzishwa na idawa kuwa Lowasa ameshindwa kuhutubia mkutano wa Tunduma leo hii na kuzua sababu nyingine ambazo ni uwongo. Usahihi au ukweli wa jambo hilo ni huu. CDM kesho wana mkutano mkubwa Mbeya Mjini, hivyo gari gari mbili zipo jijini...
  12. Losambo

    Masoud Kipanya katika ubora wake

    Bendera za CDM zipo juu zaidi kuliko CCM, ina maana CDM inakubalika zaidi kuliko CCM.
  13. Losambo

    Msimamo: Kama hakuna kulinda kura, hatupotezi muda kupiga kura!

    Unatakiwa uhamasishe watu kupiga kura siyo wasiende kupiga kura kwa hofu ya kuibiwa. Hilo ndilo jambo la msingi. Halafu uzi kama huu sikutegemea utoke kwako, ni shahiri dhahiri umekengeuka. Kulinda kura watu watalinda kwa sababu ni vituo vichache ambavyo vipo 100mt bila kuwa na makazi ya watu...
Back
Top Bottom