Recent content by lorowo

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanauzwa crossbreed ya Labrador Retriver na Germany Shepherd@500,000.

    Kwa mawasiliano 0627552524
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa wahudumu wa bar

    Wawe wasichana wenye Umri kati ya miaka 18 na 21 eneo la kazi ni Kitunda kwa mawasiliano piga simu namba 0713 255394 au 0755 826675.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Picha ya Mwigulu Nchemba na Mwanae yazua mjadala mitandaoni

    Ili kuboresha elimu yetu,serikali iweke mkakati kabambe wa kuhakikisha watumishi wa umma wa ngazi zote wanasomesha watoto wao katika shule za umma ili waweze kusimamia kwa dhati uboreshaji wa elimu Tanzania
  4. L

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona leo, majambazi kuuawa ni haki kabisa

    Ingekuwa vyema sana polisi wafanye msako mkali nchi nzima kwa ajili ya kuwa baini majambazi na dawa ni kuwapiga shaba tu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lijue soko la HISA

    Asante kwa mada nzuri kwani elimu ya soko la hisa bado haijaeleweka kwa weng hapa Tz. Vipi ninawezaje kuhamisha umiliki wa hisa kutoka kwangu kwenda kwa mtoto mkuu?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

    mkuu naona hapo kama promo kwa hizo hotel manake sasa watu watataka kwenda kujionea wenyewe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nauza mbwa wa kisasa wana umri wa miezi 2 wako katika afya njema Kitunda Dar

    Karibuni kwa mahitaji ya mbwa wa ulinzi bei ni tshs laki 1 kwa mbwa mmoja
Back
Top Bottom