Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

kuna kitu 'CHELSEA GUEST HOUSE'upande wa nyuma wa MAGOMENI.

wadau huwa wanahisi wako DARAJANI
 
Halafu tusisahau maeneo ya mikocheni na kwa milupo siku hizi hata four and five star hotels nyingi watu hupata fasta na kuua soo

Mbona za Kariakoo na Lumumba zimepona? ina maana wale wanaoaga kwa ofisi kuwa wanaenda mabenki na wizarani au next door huwa wanasafiri hadi sinza?
 
Madanguro haya je yanajulikana sasa tanzania bila ukimwi itawezekana tu watu wakibadili tabia, kwanini watu wamekata tamaa kiasi hiki
 
Mbona samaria pamecool sana? hata jina lake linaashiria utakatifu fulani. em tueleze, hizi tafiti umezifanyaje
 
Utafiti huu umenichukua takriban miaka tisa hapa Jijini na Mikoa sita ya bara,Mbinu(Research Methodologies) nyingi zimetumika kukusanya data hizi na ni sehemu ndogo sana ya mambo mengi tuliyokumbana nayo katika jamii yetu inayozungukwa na gonjwa hili la Ukimwi.Walio wengi wanaharakati wa mapambano ya ukimwi ndio vinara wa maeneo yaliyotajwa, ukijumuisha mawaziri,wabunge nk.Dhana nzima ya kufanya ngono zembe siyo maraha tuu lakini maadili yetu yako wapi?Ni kukata tamaa tuu au pia ni kupoteza mwelekeo?Tumeukubali ukimwi na kuusambaza kwa kasi kubwa,huku tukijua kuwa tunaliangamiza Taifa na vizazi vijavyo pia??Asilimia ndogo sana wanatumia kinga,Na wale wenye kutumia wakikaa na wapenzi wao zaidi ya miezi mitatu swala la kinga halipo.

Kwa waliosema kuwa mimi ni mshiriki mmojawapo ni kweli kabisa kwani ukitaka kumtoa ngedere msituni sharti ujifanye nawe ni ngedere ali hali ukijua unachokifanya.
Umefika wakati jamii ikemee kwa nguvu zote haya yanayotokea, kama watu wakiwa kazini wanaendekeza ngono,kwa visingizio mbali mbali Kweli uchumi wetu utainuka!!Kama wake zetu wakienda sokoni wanapitia huku au waume zetu wakienda kwenye biashara wanaripoti huku ndoa zina maana gani????Watoto wa shule je maelfu kwa mamia wanaingia huku mchana kweupee.Nani atasalimika?
 
Maadili ni tatizo kubwa. Hivyo watu ndiyo wabadilike na hizi nyumba za wageni zisizo rasmi zitakufa kifo cha kawaida kwani hakuna hatakayekwenda. Marriage sasa hivi ni tatizo kwani watu wanaoana lakini hawamaanishi hivyo wanakuwa wanaendea na watu wao wa zamani.

Vijana siku hizi hatufundishwi walivyo fundishwa wazazi wetu kwani huo siyo ustaarabu je sasa hivi watu wakiwa hivi walivyo tunashangaa? Maana wote tunashabikia uwestern hivyo madhara ndiyo haya mpaka kuja kubadilika itachukua karne.
 
My God,kama mambo ndio hivyo,jiji letu linakwenda pabaya,na haya madangulo mengi ya hayo yapo ktk makazi ya watu wamepata wapi vibali,je kunausalama kweli,wenzetu Pemba walipinga mambo ujenzi wa jinsi hiyo.Haya wacha Mungu tumwombe Mungu mambo hayo yasiendelee isije ikawa kama Sodoma.
 
This is too much.....Na huu ni ufuska tunaouona kwenye guest house,hoteli na mdanguro...Vipi ule unaofanyika majumbani? Mmme akienda kazini tu...! Wyf aningiza jamaa......Mama akitoka tu kwenda saloon..Baba anatafuna House girl...Hii ni balaa.
 
kwa kweli maana ya guest house haipo tena, sasa ni majumba ya kumegana tu, na asilimia kubwa ya hizo nyumba hazina usajili kabisa, utakuta mabango yalishatoka zamani sana kilichobakia ni uzoefu na umaarufu wa eneo, kwa kweli hayo maeneo ni hatari sana, lakini mwisho wa matatizo ni pale buguruni sokoni kuna guest mbili na baa mbili hapohapo, pale usipime wanaume wanatongozwa laivu na kina dada kwa kuomba hela ndogo kabisa 1000, na sidhani kama kuna m2 yupo serious na mambo ya mipira kwa kweli ni balaaa sana
 
Ongeza ktk listi yako

Hollyday inn -southern sun .near ohio st (huwezi amini,Staff wanauza Short-Time)
Keys hotel--mnazi mmoja
durban -mnazi mmoja

biashara ya gesti inalipa sana dar/tz kodi ya chumba ni 10-50/month,sasa watu wanaingia masaa 3 wanalipa elfu 15-30 ,kwa masaa 2-4,so kwa siku chumba kinaingiza wastani wa elfu 60X vyumba 10,hapo ni Tsh 600,000/- kwa siku,so in a month mtu anao uhakika wa kuingiza milioni 6,wakati nyumba ya ukubwa huohuo kwa mwaka ni milioni 6,ni bora iwe gesti.
2. watanzania tupo idle saana ktk kazi zetu hasa walioajiriwa na serikali na mashirika ya umma,muda mwingi wakiwa ofisini ni kuongea na kutumia net kizushi eg,ze utamu,blogg etc, hivyo ni rahisi sana kushawishika kutoroka kufanya ngono mchana
kwa kifupi ukimwi hautaisha ila ni kila mtu kujilinda mpaka tiba kamili itakapoanza ndio watu waanze kujiachia.
 
Hapa kweli mmeishiwa...nyumba/guest/hotels ndizo zinachangia kuenea kwa ukimwi.?? Nyie mnaoenda kukodi ndio wa kulaumiwa..hao wenye hizo business wanakidhi huduma muhimu kwa jamii. Ukitapa kujamihiana wanakupatia mahali tulivu penye privacy.
 
Sio IFM tu, bali vyuo vingi ni hovyo kabisa! nenda pale UDSM, SAUT-mza n.k. ni ngono kwenda mbele!
 
mkuu naona hapo kama promo kwa hizo hotel manake sasa watu watataka kwenda kujionea wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom