Kwa uelewa wangu, adhana zinafanywa na kila msikiti ili kuwaita watu waende kuswali. Adhana kuwa moja kwa Posta na nyingine Kariakoo, sijui umechukua kanuni gani.
Hata hapa Magomeni Mapipa kuna Makanisa mawili karibu karibu. Kila siku tunasikia kengele kutoka Makanisa yote hadi tumezizoea...
Kushinda madaraka maana yake nini. Endeleeni kupambana na maadui wa amwiguku. Sisii wananchi tuna Rais is a tu kwa 2030; ambaye siyo Mwigulu. Mwigulu hafai kuwa Rais, ni mbabaishaji sana
Tulisikia kuwa TAKUKURU watakuwa macho sana na vitendo vyaRushwa wakati hiu wa uchaguzi. Inawezekana hili likawa kweli au siyo kweli.
Huku kwetu Rushwa inagawanywa waziwazi mchana kweupe. Katika kura na maoni za UWT, mbunge wa Kondoa alipewa kazi ya kusafirisha wajumbe kutoka maeneo yote kwenda...
Roho mbaya na ubahili wa Wapare ilitokana na mazingira na maisha magumu. Hii ni baada ya kufukuzwa kutoka kwenye ardhi nzuri na Wachaga - Wapare = Wafukuze.
Kwa mazingira magumu katika ardhi kavu ya milima, ubahili na roho mbaya ilibidi ziwa ni silaha za maisha. Maisha haya ndiyo wameyazoea...
Mwamba
Hili suala halikuzungumzwa kule CAS. Hakuna Kikao kilichofanyika kulizungumzia hili. Rufaa ya Yanga imekwenda CAS pre-maturely.
Huwezi kwenda kukata Rufaa Mahakama ya Rugani wakati kesi haijatolewa uamuzi Mahakama Kuu. Sisi watu wa Yanga tukoje?
Humjui vizuri Lissu. Anachoweza ni kupinga kila siku na kudeal na controversial issues zaidi ya maendeleo. Hana mipango miziri. Mpeni kwanza mida aende akaione familia yake. Akizidi kukaa hapa atachanganyikiwa.
Ukitaka kujua kuwa Mwigulu siyo Presidential Material; angalia uamuzi wake wa kuandika mawe yote kwa njia ya Mwanza.
Hiyo ni akili ndogo sana. Akili ni ndogo kiasi cha kutojua kuwa watu wanaomteua mtu kugombea urais ni viongozi wacchache wa Chama chake. Na siyo umati wa watu wanaosoma mawe ya...
Sina uhakika na tatizo la Karia kwa upande wa Yanga. Tatizo langu ni kuna uhusiano gani kati ya kura za Samiha na kazi ya Karia.
Ni vyema sisi watu wa Yanga tukawa na mawazo ya kiungwana mbeke ya watu wenye busara
Maswali Matatu muhimu
1) Je wale Makomandoo wa Yanga wana akili timamu?
2) Yanga waliendaje uwanjani wakati Mechi imeahirishwa?
3) Meneja wa Uwanja wa Taifa aliwafunguliaje Yanga milango wakati Mechibimeahirishwa?
Kuna matatizo makubwa kwenye uongozi wa Yanga na uongozi wa uwanja wa Mkapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.