Recent content by Lord OSAGYEFO

  1. Lord OSAGYEFO

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    MAGUFULI alitaka Mambo kama haya yapitishwe kirahisi ndio maana hakutaka Wabunge Wazalendo wa UPINZANI
  2. Lord OSAGYEFO

    Mwigulu, tuzungumze kizalendo kidogo! Bajeti na Janja ya CCECC

    TANZANIA Shamba la BIBI Wacha Wazalendo waibe ni Shamba lao
  3. Lord OSAGYEFO

    Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Na huyo Mwanaume atakuwa huyu aliyeanza kujizoesha MISAFARA ya Mapikipiki Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  4. Lord OSAGYEFO

    Askofu Gwajima: Madikteta wote walishinda uchaguzi wa kidemokrasia lakini hawakuwa na maono

    TANZANIA CHINI YA CCM INA MAONO YA KUIBA KURA KUKATAA KATIBA NA TUME HURU HAYO NDIO MAONO YA TANZANIA CHINI YA CCM Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  5. Lord OSAGYEFO

    Dickson Maimu wa NIDA na wenzake wafutiwa kesi zote

    SAFI SANA WACHA WAKALE PESA ZAO WALIZOZIPIGA na KAZINI WARUDISHWE Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  6. Lord OSAGYEFO

    Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    MHIMILI NI mmoja tu hakuna cha BUNGE wala MAHAKAMA lazima wote Wajumbe MAPAMBIO Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  7. Lord OSAGYEFO

    Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

    BUNGE AU KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA? Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  8. Lord OSAGYEFO

    Hii hapa mishahara mipya kutokana na nyongeza

    ILA KIKOKOTOO CHA 33% KITAWAKATA MAINI Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  9. Lord OSAGYEFO

    Kigamboni ni mji unaojengeka kuliko yote Dar, Serikali iweke miundombinu vizuri

    Wewe ni wa Mkoani KIGAMBONI ina Njia nyingi zaidi ya pantoni
  10. Lord OSAGYEFO

    Ni muda muafaka sasa serikali ikatoa hela na kugharamia upimaji na urasimishaji wa ardhi nchi nzima

    SERIKALI KWA MIKONO yake alikwisha HARIBU MIJI YETU hebu Fikiria Jiji la DAR JINSI LILIVYOHARIBIKA wakati ni Makao makuu ya Nchi? Serikali ipo Wizara zote zipo ni VIGUMU kurekebusha Miji yetu Wacha iendelee kuwa Kama manzese Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  11. Lord OSAGYEFO

    Ole Sendeka ana Point, shida nchi imejaa ushabiki wa kijinga sana

    NCHI INA WATU WA AJABU SANA NIKIKUMBUKA SIFA KEDEKEDE ALIZOKUWA ANAPEWA MAGUFULI siamini kama wale Waliokuwa wana msifu ndio hawa hawa leo WANAMNANGA
  12. Lord OSAGYEFO

    Rais Samia mfute kazi Naibu DPP Kweka, anachafua utawala wako

    Kwa TAARIFA yako DPP AMEKATA RUFAA KUPINGA ILE KESI YA MIAKA 30 Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  13. Lord OSAGYEFO

    Tume ya Uchaguzi ya Tanzania ikajifunze kwa Tume ya Uchaguzi ya Kenya

    TANZANIA INA KATIBA MBOVU TANZANIA INA TUME YA UCHAGUZI MBOVU ni AIBU kumsimulia MTU jinsi KATIBA na TUME ya UCHAGUZI za Tanzania jinsi zinavyofanya KAZI Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  14. Lord OSAGYEFO

    Jambo la uchawi ni serious kabisa Rukwa/Katavi

    Na nyie Acheni kula wake za watu Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
  15. Lord OSAGYEFO

    Ukiishi Kigamboni ni kama uko nchi nyingine

    ENEO salama kuishi kiafya ni KIGAMBONI halina Uchafuzi wa Mazingira kama Viwanda kuturirisha Maji machafu Magari kutembea Usiku Kucha kama Manzese kimara n.k Miti imepandwa mingi Upepo wa Bahari unavuma VIBAKA na UHUNI wa Mwananyamala hakuna Kuna WANAJESHI Sent from my SM-J600F using...
Back
Top Bottom