Recent content by Lord Diplock MR

  1. Lord Diplock MR

    PostGE2025 Hivi, zuio la CHADEMA kushiriki siasa halihusu vikao vya maridhiano?

    Kweli kabisa kuheshimu amri za mahakama ni kuheshimu utawala bora
  2. Lord Diplock MR

    PostGE2025 Hivi, zuio la CHADEMA kushiriki siasa halihusu vikao vya maridhiano?

    Nimesikia habari za Maridhiano na nimesikia ujio wa Rais Mstaafu wa nchi jirani kujaribu kukutana na vyama vya siasa nchini na kufanya mazungumzo ya maridhiano. Mazungumzo hayo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku kadhaa kuanzia kesho. Wakati hayo yakiendelea sote tunajua kuwa lipo zuio...
  3. Lord Diplock MR

    Hapa Oscar Oscar katoa Bonge la Ushauri, ila kama kawaida najua hatoeleweka na ataishia Kutukanwa tu

    Hamna mtu kutoka nje halafu Kama kawaida yao wanawafuata ndani majumbani na bunduki kuja kuwaua Kama walivyofanya 29 Oct. Wale waliobaki ndani ndiyo waliuawa kwa wingi zaidi. Safari hii itakuwa ngumu sana kuwaaminisha wananchi kuwa kubaki ndani ni salama kuliko kutoka nje
  4. Lord Diplock MR

    Hatupendi kutoka, lakini tutabakije ndani salama?

    Hii ya kutufuata watu ambao hatujatoka majumbani na kutuua inatusikitisha Sana. Tunajiuliza siku nyingine ikitokea tufanyeje? Maana hata tukibaki nyumbani tunajua watatufuata tu hivyo hatutakuwa salama. Serikali hili la kufuata watu majumbani ni kosa kubwa Sana wakati mwingine watu tutaogopa...
  5. Lord Diplock MR

    Jelly Silaa amaliza ubunge 2025 kwa maumivu, aswekwa ndani akidaiwa kutaka kupindua matokeo.

    Huyu alikataa rushwa ya mamilioni Ila kumbe nayeye anatoa rushwa
  6. Lord Diplock MR

    Channel 10, Nani anamiliki?

    Makaburi ni mengi mno
  7. Lord Diplock MR

    Rais Magufuli: Namshukuru ndugu Bashiru, Channel 10 tulinyang'anywa na kudhulumiwa

    Hii ilikuwa wiki tatu kabla ya kifo chake au?
Back
Top Bottom