Recent content by Lorah

  1. L

    Mbowe: Hatutapinga kila jambo, Rais Magufuli anafungwa mikono na Kamati Kuu ya CCM

    Amina... Mimi ni Chadema ila nimeanza kumkubali Magufuli... Tatizo chama tuuuu....
  2. L

    Waziri Angelina Mabula apiga bonge la pati kusheherekea uwaziri, tulikunywa kula na kusaza

    asheherekee tuu.. huyo ni mtu wetu wa karibu sana sana... bado hatuwezi kumuondoa ata enjoy miaka yote 10 kama Hawa Ghasia
  3. L

    Lowassa we ni nani nchi hii mpaka unagusa maisha ya watu kiasi hiki?

    nIKITEMBEA LOWASSA .... LOWASA ,LOWASA LOWASA
  4. L

    Kwanini Magufuli hampongezi Makonda?

    Kama yale maneno magufuli aliyowaambia mawaziri wake yalitoka moyoni basi huyu hatampongeza atamfukuza...alisema nendeni mkafanye kazi bila kuwabagua watanzania kupitia chama chao au rangi wala kabila..
  5. L

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    watu wengine ni wa kudharau kama huyu mleta mada.... kwa hiyo magufuli nae ashashindwa kazi kwa kushindwa kutatua tatizo la umeme?...acha ufala
  6. L

    Makonda ndiye DC pekee anayeendana na kasi ya Magufuli

    wampe ukuu wa mkoa wa Arusha au Mbeya huyu..
  7. L

    Mbunge wa Ubungo, Mhe. Kubenea akamatwa kwa amri ya DC Makonda

    huyu Makonda jinsia yake ni ipi? nimeona picha akimfunga jinsia ya mme viatu..au ndo wale museveni aliokataa kuwatambua?? mtu kama huyu unategemea nini toka kwake ana act ki kike na sio ukike wa kiafrica ni wakihindi maana ndo hata km umemlove mtu unampiga kibao kikuchikuchi
  8. L

    CCM Dar es Salaam, mnataka kuivua nguo CCM? Muwe makini

    Mimi nilikuwa sielewi issue ya kuua bila kukusudia inakuwaje... kwa ujinga huu unaweza kukuta umeua bila kukusudia ..
  9. L

    Jakaya Kikwete kumrithi Ban Ki-Moon UN?

    hahahaha hahahahah uwiiiiii... kweli hiki kichekesho kimenivunja mbavu... tutumie vichekesho vingine tafadhali...hivi Migiro walimwambiaje tena huko? na ukilinganisha Migiro na Jk kwa utendaji na uzoefu kimataifa nani zaidi vile...
  10. L

    Pombe imechachuka

    hivi ukiwa ccm bila kuitukana bavicha hupandishwi cheo...ni wapi imeandikwa mtoa mada ni bavicha...mipasho anayo mwenyekiti wa ccm taifa ndo kafundisha kina nape na makonda
  11. L

    Madudu ya Awamu ya nne, CCM iwaombe radhi watanzania-Gazeti la CITIZEN

    Nchi haikuwa na rais kwa miaka kumi... Kila mtu alikuwa anajifanyia laki...huyu jk ni mswahili mno aisee yani kweli ccm mbadilike sio kumuingiza tu mtu kwa kuwa anawapa kitu kidogo...kama sio shemeji yetu mkapa ungekuta leo tuna mswahili mwingine membe..
  12. L

    Kama wana Arusha watamchagua Lema kuwa mbunge nitawaradharau

    Lema kapige kazi baba rais wa sasa sio wa visasi kama aliyepita... Huyu anataka wapiga kazi na wengi ndo nyie....tunasubiri kukupa tena kura za ndio 2020...
  13. L

    Lema maji ya shingo Arusha

    Lema lema lema....chamecha meku oko...nakicha otana mbeee..
  14. L

    Huyu Mtanzania hatamsahau LOWASSA Maisha yake yote hadi kufa kwake

    ukweli tunaujua...Magufuli atamheshimu sana Lowassa hata kama nje atajidai kumsakama moyoni anajua kilichotokea Dodoma.... Walitaka Membe ndo aingie ndo maana wakamweka na na watu ambao kura zingepigwa kihalali lazima membe angeshinda... Lowassa alivyoitwa na Kina Mkapa na kuambiwa kwanini...
Back
Top Bottom