Kushukuru wananchi wakati umeshindwa ni uchuro na ni jambo linaloashiria kukosa mada. Wananchi wanataka Maendeleo sio siasa za kutumia mianya ya shida zao. Acheni serikali ifanye kazi
Mnaoshabikia ubomoaji wa nyumba za watu mjipange yakiwatokea ninyi. Haki za binadamu zizingatiwe ktk kutekeleza maagizo ya serikali. Mbona wakwepa kodi walipewa siku saba? Kwani sheria si ilishakuwepo wangewekwa rupango direct? Mnaonea dagaa, kumbe papa mnawagwaya. Mngeanzia zile za mikocheni na...
Nafikiri ifikie mahala usanii uishe kwa viongozi wetu. Hujajua hata ofisi yako ilipo halafu unaanza kwenda kushtukiza Amana. Msikurupuke na kuwatia kiwewe wafanyakazi katika maeneo yao bure. Fanya utafiti wa changamoto za watz zilizopo chini ya wizara yako. Tafuta suluhisho la haraka na la...
Ni kawaida ukikabidhiwa taasisi au shirika au serikali ambayo haifanyi vizuri kukidhi nahitaji ya wadau kwa kuwapatia huduma au bidhaa tarajiwa, unapaswa kufuata utaratibu wa kuwezesha matokeo chanya yatokee kama anavyofanya magufuli. Nampongeza na wala si udikteta Bali ni utaratibu tu wa...
Kuna vigezo vingi vya kuangalia wakati wa kuweka viwango vya mishahara mahali pa kazi.
Kwanza kabisa ni uwezo, uzoefu na taaluma ya mtu mwajiriwa. Pili, ushindani uliopo ktk soko la ajira na la tatu ni kujitofautisha kiushindani.
Matokeo ya kazi ya mtu pia humuongezea au huweza kumfanya mtu...
Hili la Segerea kuwa na Anatropia ni seriuos sana. Watu hawasomi jina wanaangalia vidole viwili tu!! Ukawa msituangushe nendeni vituoni muelimishane. Ushindi tunaoutaka ni wa kishindo si kiduchu. CHAGUA MTATIRO wa CUF
kweli kabisa UKAWA wanapoteza kizembe jimbo la Segerea kwa kuwa huyu dada anapigiwa kura sana. Nimeshuhudia watu huku kinyerezi wakisema wameipigia chadema na si CUF. Elimisheni watu kuhusu hili. Mawakala pia wanatembeatembea hadi umtafute ndani ya kituo. Hii italeta ushindi mdogo bila sababu
Nashindwa kuelewa kwanini hata washabiki wa ccm ni waongo kama viongozi wao!! Duh!! Hamna mbinu zingine zaidi ya kutunga uongo kama huo??. Mtakula malimao hadi mkatike ndimi mwaka huu. Kwaherini na msirudi tena baada ya 25.10.2015
Nimekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema kuwa hawatakwenda kupiga kura. Wanatoa sababu nyingi ikiwemo dhana kwamba kumpigia mtu kura ni kumpatia ulaji. Wengine wamejawa na hofu ya fujo kutokea siku ya uchaguzi hivyo kuchagua kubaki nyumbani. Kuna maneno yanaenezwa pia kuwa watu wanunue...
Bakia umbali usiopungua mita mia mbili na si vinginevyo. Sheria iko wazi. Sio kubaki kituoni kabisa. Ukawa tutashinda kwa kishindo siku hiyo ya uchaguzi tukipiga kura zetu na kuzingatia sheria za uchaguzi na si maneno tofauti na sheria. Hakuna mtu yupo juu ya sheria. Icc inamuhusu yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.