Poa kaka,but hii nchi sasa ni ya kibabe maana mmechukua nchi kwa mabavu.mfano huku kwetu kura za magufuli amepewa lowassa na za lowassa kapewa magufuri.huo ni ubabe Wa ccm.
ila ww kweli umepew limbwata na ccm.ivi huoni manyanyaso ya ccm.et kibaki madarakani kama chama tawala.Huku kwetu ccm ikipita tutahama wanchi wote na kutafuta pa kuishi.wanabeba baiskeli za wananchi et uchafu alafu kugomboa ni laki 3.uwo c ni wzi
Watanzania hatuna akili.unamshangilia MTU anapita kwa wizi cyo kwa kupendwa na wananchi.humu kwenye jf asilimia kubwa ni upinzani.je hizo kura za USHINDI znatoka wapi.miaka mitano tena ya uchaguzi cpigi kura tena..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.