Recent content by Londony

  1. Londony

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Abiria wa Basi la Shabiby tulalamikia huduma mbovu za hoteli Morogoro tunaomba mbadilishe haraka hoteli

    Tatizo ni hao madereva wake anapaswa awafuatilie
  2. Londony

    JamiiForums Tanzania Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

    Siyo kama laana Bali Ni kazi ya laana.
  3. Londony

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Anamnyima au anampakata mwenyeji? Jana simepakatwa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kosa lenu kuendelea kukatika kitu kikaza mara tena cha pili mimba juu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nina zenu mtalea sana mimba za yanga
  4. Londony

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    We mbwa koko uko wapi?
  5. Londony

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Londony

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Anataka afungue chekechea? Dunia ya leo watoto sita???!!!!!
  7. Londony

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Ushauri wako happy umechelewa maaana hilo agano la ndoa ameshalivunja sema hapo atachotafuta ni kuwaweza watu wazi kwamba amevunja agano la ndoa.
  8. Londony

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Big G ikishaisha utamu kuendelea kuitafuna ni kujaza tumbo mate tu.
  9. Londony

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    How did you live before him?
  10. Londony

    JamiiForums Tanzania Nilivyowindwa na mke wa mtu bila kujua

    Mke wa mtu sumu
  11. Londony

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Regional Development Planning kutoka Chuo cha Mipango (IRDP)

    Duuh! Ameambulia majibu ya kumkatisha tamaa tu.
  12. Londony

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    ,[emoji28][emoji28][emoji28]kumbe shida ni michango? Sasa umekosea ungengoja mpaka aombe mchango kwanza.
  13. Londony

    JamiiForums Tanzania True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Wahurumie tu then potezea si unajua tena jf ni kisima kirefu inakila aina ya watu
Back
Top Bottom