Ni kweli kabisa zama za kutumia wasanii kwenye mikutano ya siasa ni upuuzi mtupu.
Watu wameelemika wanataka kusikia hoja za mashiko kuhusu mustakabali wa taifa letu.
Kwanza ieleweke wazi kwamba kazi kubwa ya serikali katika uwanda wa biashara ni KURATIBU, KUWEZESHA NA KUTOA MIONGOZO NAMNA BORA YA UWEKEZAJI kwa wafanyabishara wazawa na wageni kutoka nje.
Tanzania kuingia kununua mabehewa na ndege kwa ajili ya kufanya biashara ya usafirishaji naona ni...
Aisee wewe jamaa, udini utakuua. Yaani joshua Mollel alipigwa risasi ni Hamas huku wanatamka maneno yenu ya allahu wakbar halafu huoni huo unyama wa kuuliwa mtanzania mwenzako kisa unalinda ndugu zako waarabu wa hamas.
Hakika Mungu akusamehe
Tundu Lissu ameshashinda kura za mioyo ya watanzania ila kwenye box la kura anaenda kufanyiwa unyama.
Baada ya uchaguzi aende NSSR MAGEUZI apeperushe bendera ya urais huku makamo wake akiwa Boniface Mwambukusi.
Unajua watu wameelekeza imani zao kwa kuona kwa macho yao. Ndio maana ya picha hizo, kikubwa usiabudi kila picha unayokutananayo.
Pata maarifa tu kutoka kwenye picha
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa.
Kikubwa mwanadamu pale alipo chagua kutomsikiliza Mungu na kuamua kufuata njia zake, Mungu alimpa uhuru wa kujiamulia mambo yake...
Ningefanya mabadiliko ya majenerali wa jeshi na kusimika kambi za makomando hatari huko kwenye ngome ya M23.
Nikishasafisha M23, nasimika kambi za makomandoo wa kijeshi kwenye mipaka ya Rwanda, Burundi na Uganda yaani huko mipakani hakuna paka yoyote kukatiza kuingia DRC
Ni holy land kulingana na maandiko ambayo ndio ulikuwa mpango wa Mungu lakini tujue pia mpango wa shetani ni kujaribu kuchafua kila kitakatifu cha Mungu.
Suala la ushoga hadi pale Madina alipozikwa mtume unafanyika haswa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.