Recent content by LOMP

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa Kimasai nao wanachepukaga?

    kwa ninavyoijua jamii yangu(maasai), suala la kuchepuka lipo ila ni kwa siri sana (against law),wivu hatunaga
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kina kaka acheni ujinga, hakuna mwanamke asiyetaka kuhongwa, shauri yako

    kumhonga mwanamke mali yeyote ile ni sawa na kununua penzi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Clouds wanatufanya wajinga

    redio yenyewe haieleweki wanachokisema.wizi mtupu.bora niendelee kusikiliza ORS FM redio ya wamasai
  4. L

    JamiiForums Tanzania Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    dah 20000 yangu imeenda kilaini tu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    Ni shida.kesho kitaa sijui!
  6. L

    JamiiForums Tanzania Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    timu ya taifa ya brazil imepokea kipigo cha magoli 5 hadi dakik ya 34 kutoka kwa wajerumani.dah! sitamani kuangalia tena
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili mmetudanganya

    poa.namlaumu aliyekuzaa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ha ha ha mwalimu oyee..!!

    Hongera mkuu.mitoto mikorofi au kawaida?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili mmetudanganya

    NAOGOPA KUFUKUZWA CHUO.chezea waroma wewe.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hili mmetudanganya

    Ni DVCAA wa chuo cha SAUT-Mwanza.Bila aibu katangaza mble ya sautso kuwa chuo hicho na chuo cha pili hapa nchini. Ni kwel?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Niliwahi kutembea na wasichana hawa

    mtafute yule wa kwanza kutembea naye
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    Elimu kwangu si kigezo
  13. L

    JamiiForums Tanzania The Best Private University in Tanzania

    taja kwanza unavyovifahamu ili wadau wakuchambulie moja baada ya nyingine.tumia lugha ya taifa(kiswahili)
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya upangaji wa kwenda a-level

    salam ziwafikie wote popote mlipo. nina dogo kapata dvn iv ya 33 ila ana "c".je ataweza kuchaguliwa kujiunga na a-level?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Binti huyu ameniharibia weekend yangu!

    Wewe mshukuru MUNGU umesalimika ila baadhi ya dada ze2 kwa kudanganya wako juu.ogopa mke wa mtu
Back
Top Bottom