Recent content by lomayani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania haiko huru, ni koloni tupu la viongozi bure

    I need to give you a drink,you nailed it so well I feel like a fool after being led by fools for a long time bro,thank you!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Israel yawataka wahamiaji kutoka Afrika kuondoka nchini humo

    Swali zuri sana,Huko ndiko wanapooona kwamba kuna viongozi wanaong'ang'ania madarakani,hivyo hapo kuna walakini!Na kwanini wanaomba kuwepo kwenye umoja wa Afrika?
  3. L

    JamiiForums Tanzania ‪Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai Polisi hawana utaalamu wa kulazimisha kuingilia mawasiliano kimtandao‬

    Hakika hii ni kali yake, sikutaka iishe!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Kwa kweli hakuna kama nyumbani!Nimeishi na nimetembelea nchi zote ambazo umezitaja hapo juu.Lakini inasikitisha dharau,ubaguzi na kodi unazotozwa ukiwa ndani ya nchi hizo.Unapoondoka au kuoa mwanamke wa kwao hapo dnipo dharau na ubaguzi unapooneshwa live.Mwanamk mweupe hawzi ishi nawewe maisha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Symbion yaishtaki TANESCO Mahakama ya kimataifa. Yaitaka iilipe $561 milioni kwa kukiuka mkataba

    Na kama ni hujuma za kimataifa na watu wakaingizwa mjini?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tamko la CCM: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, yaipongeza Serikali ya awamu ya tano

    "......Chama imeunga mkono hatua kadhaa zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano......" Naomba ufafanuzi hapa,ni hatua kadhaa au zote?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuja kwa Lowassa CHADEMA kumesaidia kitu CHADEMA?

    Lakini,hata Dr Slaa naye si alitoka CCM?Je umeangalia ni wanachama wangapi wameogezeka baada ya Lowassa,Ngombale Mwiru na Mama Regina kujiunga na CHADEMA?Tuangalie pande zote ili kuepuka kuegemea upande mmoja wa shillingi.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Hii ni kali yake asante sana tunaomba video fupi @JamiiForums with Jaxon Paul
  9. L

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Synovate: Magufuli aongoza kwa 62%. Yabainika watanzania bado wana imani na CCM

    Mahesabu yananichanganya 62%+31%+0.3%+7%=100.3% Au sioni sawa sawa?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Hebu chukua kalamu au andika hapo chini. Jedwali la kwanza-%64+5+30=99%. Jedwali la Tatu-62+25+2+1+0+2+2+5=99% Jedwali la Nne- % 60+26+3+1+1+3+6+2=102% Ni vipi kuna ukweli hapa kweli?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Majedwali: Ripoti ya TWAWEZA ya 'Sauti za Wananchi' ya matokeo kuelekea uchaguzi

    Naona hapa kuna shida hebu chukua kalamu na karatasi halafu jumlisha % 60+26+3+1+1+3+6+2=102% Huu utafiti una kasoro kubwa!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe awapa angalizo waangalizi wa Uchaguzi

    Tamko hili au onyo hili pamoja na maelekezo yote mengine kuhusu uchaguzi mkuu yalitakiwa kutolewa na tume ya uchaguzi,na wala sio Wizara ya mambo ya nje,vipi tena?Membe unajua kazi yako vizuri?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Simbachawene apuuza tuhuma kuuzwa gesi ya Mtwara

    Kwanini wawapeleke China?Kwanini wasiwaajiri wahadhiri kutoka nje waje wafundishe hapa hapa?Huu ni ugonjwa wa akili.Manufaa mengi zaidi kama tukiajiri wahadhiri waje vyuoni mwetu wawafundishe wanafunzi wetu.Hii ndio dira sahihi.
Back
Top Bottom