Mnajifariji tu Ben...
Ilani ya Uchaguzi ya CCM pia imeelezea kuhusu kupambana na rushwa pamoja na kuwashughulikia wabadhirifu wa mali za umma...
Na pia Rais JPM katika mikutano yake ya kampeni aliahidi kuyafanya haya anayoyafanya sasa...Zipo audio na video clips zinazothibitisha hili...
Hayo ya kutekeleza Ilani ya CHADEMA ni nyinyi tu mnaamua kujifariji baada ya kuukosa Urais...
Binafsi sijawahi kumsikia Mgombea Urais wa UKAWA akiahidi haya anayoyafanya Rais JPM sasa hivi..
Kweli mkuu aneyajaribu kumtenganisha jpm na ccm anatakiwa kupimwa uwezo wake wa uelewa.
anayoyafanya sasa aliyahubiri nakumbuka sentensi yake moja aliyoipenda kwamba kitanda kikiingia kunguni unachoma kitanda au unachoma kunguni?
Akimaanisha huwezi kuchoma kitanda lazima uchome kunguni.
Sasa kazi ya kuchoma kunguni anaifanya akiwa yupo kwenye kitanda kilekile ambacho ni ccm.
Lakini pia ukawa wao walisema hawatafukua makabuli wataunda tume ya maridhiano.hii ilimaanisha nini kama si kulea wezi wa Mali ya uma.
JPM NI CCM ANATEKELEZA ILANI YA CCM AKIWA NDANI YA CCM.
WATANZANIA WOOTE TUKO NAYE BEGA KWA BEGA.
TUMUUNGE MKONO HATA KAMA UKIONEKANA KUWA JIPU LIKITUMBULIWA USINUNE UGUZA MAJERAHA LIKIPONA JIHADHARI LISIJIRUDIE TENA UNGA MSAFARA BEGA KWA BEGA NA JPM HADI 2020.