Hivi hizo bei nafuu wanazosema zinapatika four weeks before mbona cjawahi kubahatika tarehe tatu march nimeulizia kia mza tarehe tatu april naambiwa laki mbili tisini na sita elfu hii ndege wanaofaidi ni wale wenzangu na mie nataks kwenda dar may wa safari zisizo na tarehe tunaumia sana
Aliyesoma rich dady anajua kwa nini wafanyakazi ni waoga jamani hata mimi ni muoga sana we fikiri eti unaongea tu nini unapelekwa nanjilinji ukigoma si ndo ajira huna wacheni tu tuogope manake tumechagua kuwa watumwa
Ni kweli sijawahi wasikia il a nimesoma hayo majina kwenye Misale ya waumini.don't go out of the topic dude tupe tofauti ya terms husika.mwalimu Wang alizoea kutuambia fabricando fit Faber kama nakumbuka spelling.tuonyeshe umahiri kwanza kwa kutueleza utofauti.halafu kutoka nje tu ya topic ni...
Not necessarily to get 100% right.it is enough for me to get even 50 as there is no award it all about adding my knowledge.whether ridiculous absurd or whatsoever
I have gone through the thread and your response to Either has got nothing with my requirement of proof that God is not exist unless you put somewhere ambako sikuelewa manake I can see you are trying hard not to be undestood otherwise u had no good motive to publish such kind of kiswahil...
You are rebutting your own assertion.you are the one who aver that the the burden of proof lies to the one who point.and you are the one who assert that there are chagg with 3 legs hahah and you are saying it is up to those chaga to prove to us ?! Not you who allegy?
Lakini Kiranga hata wewe haujaelezea tofauti umesema tu.gender equality in utopian concept halafu ukatoa na mfano wa mwanaume hawezi beba mimba mind you umetoa mfano lakini hujaeleza exactly what it is so even you could score half marks for mentioning an example
Hapana hata me nakubaliana naye no vizuri tukapata definition ya msomi kabla ya kuendelea manake watu wengi wakisikia msomi wanafigure out madarasa MTU aliopita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.