Recent content by loliondokwetu

  1. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Nae yuko vzr,japo kagame ni mkongwe zaidi kwenye uongozi.
  2. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma

    Tunawatakia kila la kheri viongozi wetu.
  3. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dark days are coming before the election of 2025

    Yakitimia utakuwa lazima ni mpango wa MUNGU dhidi ya hawa miungu watu.
  4. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja kati ya Wawili waliobainika kuwa na ugonjwa wa Marburg afariki Kagera

    😄😄 We jamaa unafurahishaga sana.
  5. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Kwa mada yako anzia 2035
  6. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Samia ndio kwanza anaanza miaka yake mitano so atamaliza rasmi miaka yake 10 (2035) MUNGU akijalia,urais alionao sasa hauko ndani ya ile miaka yake 10.
  7. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa sheikh Yahya naona unaenda vizuri kabisa bado haujachanika

    Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa.Mbinu za maangamizi;1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana.Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya wengi ambao walipoteza matumaini juu ya upinzani wa Tanzania.Lakini pia imiza vijana wengi kwenda kujiandikisha...
  8. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe: Tumepewa hela ili tumchague Mbowe, sisi tunamtaka Lissu

    Duu hapa mbowe kutoboa ni kazi sana,
  9. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Maradhi ya kiharusi (Stroke)

    Asante kwa somo zuri
  10. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kwanini Yanga akimfunga Mc Alger anaweza kuingia top 5 kwenye CAF 5 years ranking

    Yanga kesho anatoa droo,mwarabu anapita.
  11. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania What are some books that expand our mind?

    Uko well educated mkuu,and from my view your so emotional maturity,keep it up,dale Carnegie na Joseph Murphy wamenisaidia sana mkuu kupitia maandishi yao,now naelewa na naendelea kupractice kuhusu kitu gani niilishe conscious yangu kwa matokeo bora from my subconscious.your outer mirror is a...
  12. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania What are some books that expand our mind?

    Safi sana mkuu,nimesoma cha kwanza na sasa nipo na audio ya atomic habit nasikiliza yaan utadhan ulikuwa unaniona,kingine kizuri sana ni HOW TO STOP WORRY AND START LIVING by dale Carnegie.
  13. loliondokwetu

    JamiiForums Tanzania Kama hauyaelewi Maisha yako na kila unachogusa ni kigumu jaribu kusoma kitabu kinaitwa 'The Power of Your Subconscious Mind'

    Mada nzuri sana nashangaa ina mda mrefu sana hapa na hakuna ata comment moja,ila mada za ovyo ovyo ndo zinakuwa na wachangiaji wengi.
Back
Top Bottom