Hata iwapo wakuu wanayo listi nani nani atakubali amwagiwe tindikali kama Waandishi wa habari? Inatakiwa kioangozi atakayejitoa Mhanga kwa ajili Usalama wa Jamii ya TZ.Mtandao wa Madawa ya kulevya Itakuja kujisaji kuwa Chama-CCM na CHADEMA.Ifuatiliwe Ni njemba gani aliyewatuma Sokoni-Kama kweli...

Sio research kama umezoea neno la KUHAKIKISHA-wa kwangu alipata p28-sasa hivi hajabadilika kitu ni ilele,kama unataka kuhakikisha sema nikutumie namba.Hii ni Machungu zaidi ya kwanza-Watanzania mahakama gani inafaa kwenda kwa hili?!!!!!
Kweli kuna watu nyayo zao za miguu zinaelekea nyuma wakati wanafiri-Kenya,Uganda na TZ wanaungana-Africa wanatafuta kuungana! Waacheni yawezekana wametumwa,watakapokatiwa umeme watajua umuhimu wa muungano.Ujinga huja kabla ya AKILI.
Hili yawezekana ni muujiza!!!Na hao wa 2012 waliofeli kidato cha 4 2012 atawafanya nini? Ni kweli kwamba hawakuwa na akili? Mbona kuna waliokuwa wanaongoza kwenye mitihani wanaotungiwa na Waalimu wao? Nafikiri hakuna sera inayofaa ya Elimu Tanzania;ndio maana Waziri anafikiri la kufanya kwani...
Inahuzunisha sana! Ila ni nani wa kumlaumu! Mawaziri kama wanaduwaa kwenye majukumu yao,utadhania siku zote wako Bungeni wako bise.serikali weka vyombo vya tahadhari vituo mbalimbali kwani Ajali haina Taarifa
Hakuna Mtaala unaoeleweka,Vitabu Lukuki,haileweki kipi ni kipi. Isifanyike biasha kwenye Swala la Elimu.Waalimu Wanapuuzwa-Sababu hakuna mtptp wa Mbunge anayesoma Shule Kata wala wa Waziri.Wachache wanaifaidi Nchi hii.
Kutamani kwenda Ikulu ni Kutamani kuongoza Watu na kuwatumikia-Kiongozi husababisha mambo au jambo kutokea-he makes things to happen. Shida ni kutamani kwenda Ikulu ili kuondoa shida na matatizo ya nyumbani kwako badala ya kuwa na uchungu juu ya Watanzania walionyuma kwa kila jambo.
Kama waalimu wangepewa motisha hata ya maneno,yawezekana Wanafunzi Kidato cha 4 wangefaulu. Sasahivi hakuna Mwalimu mwenye hamu ya kufundisha.Unamkorofisha Mama-halafu unasubiri chakula cha Mchana!!Hili nalo linawapata Vigogo-Watoto wao husomea Angani!!!
Hapo mwanzo haukuwepo na mabadiliko ya mitaala za kila wakati kama hivisasa-kila Kiongozi anayeingia kuongoza huja na Ya Kwake,mpaka wanafunzi wanachanganyikiwa-Unashindwa kitabu Gani cha Hesabu hutumika Shule za Msingi na Sekondari.
-Pili Shule hizi za kata zingekuw na Maendeleo na Matokeo...
Katibu wa Bunge kwa hili la kuzuia kupata habari za Bungeni amechemsha sana,ni haki ya wananchi kupata taarifa ya vikao vya Bunge lao walilochagua-Nini kinaendelea Bungeni iongezwe vyombo vya habari ili kuonyesha kwa Ufasaha zaidi-Hii ndiyo Demokrasia na Kukomaa Kisiasa.Tatizo kubwa ni Wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.