Recent content by lokua kanza

  1. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu kutumiwa mzigo kutoka nje ya nchi

    Kivipi? nieleweshe
  2. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu kutumiwa mzigo kutoka nje ya nchi

    Habari wana JF. Mimi natakiwa hivi sasa kutumiwa kifurushi cha zawadi kutoka nje ya nchi, kwa hiyo nimempa mtumaji Sanduku la Posta. Je, ni sahihi na inaweza kunifikia?
  3. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania My Ads not showing in blog

    Hi, msaada jamani, ninapokopi CODE za tangazo la Google AdSense na kwenda ku-paste katika Blog tangazo lile linakuwa halionekani (view). Tatizo litakuwa nini? Help! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  5. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania Google AdSense

    Habari, Mimi nimejisajili na Google AdSense na inekubali, kwenye dashboard yangu ya malipo ni 0% nina maana kwamba hata pale kwenye neno Add Payment Method hapa-view, eti mpaka nifikishe $100 ndio nianze kulipwa. Je, matangazo ya kuweka katika blog yangu ili nifikishe $100 ninakuwa nayatoa wapi...
  6. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania Jiunge na google AdSense kwenye website yako au blog wanalipa si mchezo

    Mfano nimesha-SignUp Google AdSense, sasa matangazo ya kuweka ninakuwa nayatoa wapi au wananitumia wao (Google)?
  7. lokua kanza

    JamiiForums Tanzania HDD Password

    Hi people, Nina sata hdd ya laptop (Toshiba) nilitia password sasa nimezisahau. Je naweza zitoa vp? Msaada tafadhali!
Back
Top Bottom