Naomba kufahamu kuhusu kutumiwa mzigo kutoka nje ya nchi

lokua kanza

Member
Oct 20, 2018
8
0
Habari wana JF.

Mimi natakiwa hivi sasa kutumiwa kifurushi cha zawadi kutoka nje ya nchi, kwa hiyo nimempa mtumaji Sanduku la Posta.

Je, ni sahihi na inaweza kunifikia?
 
Back
Top Bottom