Dah! Nimemkumbuka jamaa alikuwa na familia na mishe za babershop mapipa miaka kadhaa ya nyuma. Basi akaingia tamaa ndugu yake mmoja mtu wa mishe hizo akamchukua akaenda kumuweka rehani Pakistan. Jamaa kuja na mzigo Bongo akaingia.
Yule ndugu aliyewekwa rehani sijawahi kusikia tena habari zake...
Mfano kuna seat namba 15. Na mimi nataka kukata tiketi nikitokea Dodoma. Nakuta hizo seat tayari zimeshachukuliwa lakini ukiingia ktk behewa pale kituoni Dodoma unakuta seat tupu. Ni kwamba, kuna mdau ambaye alikata tiketi mapema lakini yeye anapandia Kilosa (seat namba 15) kwa hiyo hiyo seat...
1. Tengeneza email account
2. Google PayPal kisha utatengeneza account yako mpya ya PayPal
3. Hakikisha unajaza exact details kama zilizopo ktk kitambulisho chako cha Nida.
4. Hakikisha copy ya kitambulisho chako cha Nida maana wakati mwingine wanaweza kukutaka uwatumie nakala ya kitambulisho...
Iko hivi. Kuna baadhi ya kampuni Ulaya zinatumia njia za malipo kwa kutumia PayPal na Pioneer pekee. Sasa ili kupata malipo kutoka PayPal ilitulazima kumiliki line za safaricom kisha kucreate account ya PayPal kisha unailink na hiyo namba ya safaricom. Hapo tulikuwa tunapokea pesa kupitia namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.