Recent content by Logly

  1. L

    JamiiForums Tanzania Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

    hongera zao
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu ila tuvuteni subira mpichi na mbivu kujulikana mda c mrefu
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ESCROW: CHADEMA wapata mwaliko kutoka kwa spika wa umoja wa Bunge la ulaya

    Kwani Chadema waliwashauri mfanye wizi huo shame on u all ccm
  4. L

    JamiiForums Tanzania Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Dr. Usikwepe hoja je mkakati mliouandaa unarusiwa kikatiba kama sheria mama ya Taasisi husika yaani CDM? Tunausubiria sana kwa hamu hicho chama chenu Cha ATC mnaojidanganya kuwa ni mbadala wa CDM na CCM hamfiki popote kwa tamaa mlizonazo tena na huyo kibaraka wa ccm. unazidi kujidhalilisha...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Mungu awatangulie kamati kuu ktk kutoa maamuzi ya mwisho
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa CHADEMA Kuhusu Maazimio ya Kamati Kuu - Novemba 2013

    Mungu awatangulie ktk maamuzi yote yanayo gusa uhai wa chama
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Kiongozi makini tunayemwitaji Tanzania

    H. E. Dr. W. Slaa heshima kwako umedhirishia ngozi nyeupe ya kuwa co kila kiongozi wa kiafrika anafikiria kwa kutumia makalio. Nimeipanda sera ya investment in human resource / developing skilled rather than investing explotation of resources.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa awasili Washington D.C., U.S.A., kwa mkutano wa kesho Sept. 22, 2013

    Kila la kheri Dr. Slaa ktk harakati za ukombozi wa Tz
  9. L

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Kakobe aungana na Wapinzani Jangwani

    Tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu! MOTO MOTO MOTO CHOMAAAAAAAA!!!!!!!! Maccm!!!
  10. L

    JamiiForums Tanzania GE2015 Nitagombea Ubunge Kyerwa 2015 kwa tiketi ya CHADEMA

    Hongera sana kamanda kwa kuthubutu kuonyesha nia yako njema ya ukombozi lakini umekijengaje chama "chadema" huko unakotegemea kwenda kugombea kwa kiasi gani na sio kwenda kujaribu kama utashinda au la!
  11. L

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Kila la kheri kamanda maneno ya nepi hayana maslahi kwa ukombozi wa taifa hili. Kazi ya ukombozi mbele tuko pamoja nawe
  12. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo rasmi ya Uchaguzi mdogo wa mitaa Magu: CHADEMA yaigalagaza CCM

    Kila kheri "CHADEMA" people daima mbele mwiko nyuma
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa alaani ukandamizaji Bungeni! Asema hakuna Mbunge wa CHADEMA atakayehojiwa hadi...

    Tupo nyuma yako honourable doctor na raisi wa mioyo wa watanzania.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Kapangilie vihoja vyako halafu urudi tena na alie kutia kiburi hicho ukamlaumu kwa sababu hutofika mbali kwa siasa za umamluki popote pale duniani Juliana.
Back
Top Bottom