Recent content by Logitech

  1. Logitech

    JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Wa mama wameshavuka daraja linalotenganisha Dar na bagamoyo, maeneo hot sasa hivi ni kusogea mapinga, zinga na kiromo... Bagamoyo port ipo njiani
  2. Logitech

    JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mkuu miaka kama kumi iliyopita mbweni kuna watu walisukumizwa huko, yani kama wale waliopelekwa mabwepande, leo hii kanunue plot mabwepande
  3. Logitech

    JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Duuh, hapo hata 200m unavuta
  4. Logitech

    JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    We uza tuu, hela yale inatosha kupata kiwanja kikubwa zaidi mji unaokuwa zaidi (kiaraka, mingoi - kimele) na ukashusha mjengo wa maana.
  5. Logitech

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu Jet Lumo hatupati maji ya Bomba

    Hamia mbweni mkuu, huko ndipo maji yapo kwa kuwa wanaishi na kujenga huko... Huyo uliyemtaja hana msaada wowote
  6. Logitech

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Jamaa wanakula usiku mzima halafu wana kaa masaa 12 ndiyo wanajifanya wamefunga... Vichekesho kwa kweli
  7. Logitech

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa Ubungo, Kimara, Mbezi hadi Goba palikuwa kwa Wazaramo hutoamini

    Kuendeleza miji gani? Wazaramo wanakimbilia vijijini kukwepa maendeleo
  8. Logitech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    Kulingana na alama za kiganja chako wewe ni damu yangu kabisa, mama yako anaitwa nani?
  9. Logitech

    JamiiForums Tanzania Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Hizo fedha hazipo, na wala haziwezi kupangiwa kwenye bajeti labda mpaka washike ndege za ATCL 😂... Unaijua serikali mzee, anajitafutia kufa kwa stress
  10. Logitech

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    4:23am bongo mnaokaribia kuamka, wengine tunaingia kulala
  11. Logitech

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Something you forgot - lil wayne
  12. Logitech

    JamiiForums Tanzania Hii daladala inalazimisha wanafunzi wawe na Tsh. 200 kamili, zaidi ya hiyo hawarudishiwi chenji

    Mkuu ninaweza kukupa namba ya muhusika latra umpigie, au unipatie namba yako nimtumie atakupigia wachukuliwe hatua?
  13. Logitech

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa Pesa kupitia Account ya NMB

    umefanya transaction...chunga sana kadi yako taarifa zilizo nje ya kadi zinatosha kutumika kufanya malipo mtandanoni
Back
Top Bottom