Wakati akianza kuchangia mzee Aden Rage kama ilivo kawaida kwa wabunge wengi wa CCM alianza kwa kuuponda upinzani kwamba wao ni kulalamika tu kama vile hawaoni mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya CCM. Lakini cha kushangaza katika dakika kumi alizopewa, dakika nane zote ameilalamikia mwanzo...
jaman naomba mawazo yenu. walimU wa math na sayans na kiingereza mbona tunapata tabu sana ilihali mkwanja mwisho wa mwezi sawa! nikigomea vipindi vinavyozid ntakuwa nimekosea! binafsi nina vipindi 40 vya math na physics wakati wenzangu wa Art wana vipind 8. jaman nisaidie mawazo maana mpk...
inasadikika kuwa Tanzania ni nchi pekee baran Afrika yenye lugha moja inayounganisha watu wake wote na haijakopwa kokote. lakini nchi yenyewe haitaki kufaidika na hyo tunu inang'ang'ania lugha ya kigeni matokeo yake inakuwa lugha gongana kama wajenzi wa mnala wa Babel katika Elimu matokeo yake...
ningemwona wa maana angeambatanisha Elimu yake na uwezo wa kazi aliyopema. kwamba kwa kuwa na elimu ya form four ameshindwa hili na hili. angekuwa na degree kama ya juliana angefanikiwa hli na lile. mapema hv hana cha kuongea keshokutwa ataongea nini? au kuna siku atakuja kukiri kwa mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.