Miaka ya 80 mpk 90+, alifariki mkulya mwenye title yake huko maeneo ya Masaki kama sio Mikocheni. Kulikuwa na vyakula vya kutosha na vinywaji (bia za hapo ilala TBL za chupa) kwa wingi.
Mara paap tajiri RUGEMARILA akatia timu pale msibani akaanza kupiga yowe! eti mama yangu weee hapa mahali sio...
Mwaka huo ma Daktari Tanzania waligoma wakiongozwa na m/kiti wao Ulimboka. M. Mgomo huo ulitaabisha wagonjwa ktk hospital nyingi za serikali na uliisha baada ya kutekwa Ulimboka na kuokotwa msitu wa mabwepande akiwa hoi.
Ndugu E.Kibonde alisikika redioni akiwasema vibaya sana ma Dr, ndio nao...
Kama mada isemavyo, naomba msaada wa tiba ya 'Ingrown toenails'.
Ni kwamba kucha za vidole gumba vya miguuni zikikua huwa zina kata nyama za kidoleni kadri zinavyorefuka hasa upande wa ndani ya kidole.
Nilijaribu kuziacha zirefuke ili zipite juu ya nyama ya kidole lakini hali ikawa mbaya kwa...
Mleta mada kumbuka huyo dereva ana ka uzoefu na barabara zote nchini, kwani ndiye yeye ameshiriki kiasi kikubwa kuzifanya ziwe kiwango cha lami na alituahidi tutaweza kusafiri kwa gari toka Jo'burg mpaka Cairo. Zaidi hiyo 113H siyo ya maspringi kama ile aliyopokea mzee wa Mso oga hii ni kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.