Mnaweza kupata kocha mzuri ila uongozi ukibaki uleule fairure iko palepale kwa sababu watasajili tena maboya na kumshinikiza kocha awakubali na kuwasifia na mbwembwe kibao. Mfano ni kwa Robertnho.
Naomba kuelekezwa jinsi ya kulipia ile sh 27000 kwa M-pesa ili mniunganishie umeme please wakuu. Nimekwama hapo tu hatua na taratibu zingine tayari.
Natanguliza shukurani.
Hwenda serikali imeona Yanga ndiyo timu pekee inayoonesha matumaini ya kusonga mbele na kuitangaza vizuri nchi kutokana na kuonesha kandanda safi so ikaona iiongezee hamasa kwa mtindo huo kwani Simba imeitia aibu nchi kwa kufungwa nyumbani hivyo kuonesha uelekeo wa kufeli tena. Zingatia kwamba...
Dah, mweshimiwa!😭
Naomba nikuulize swali.
Darasa la wanafunzi 100 lina wana 15 high class (kiakili), 25 middle class na waliobaki ni lower class.
1. Nini average ya darasa hilo kiakili!?
2. Nini tathmini ya darasa hilo?
3. Toa maoni yako kuhusu hilo darasa.
4. Ukiondoa dhana ya wanafunzi na...
Mkuu,
Kuamini uwepo wa Mungu huja kwa njia ya imani. Ukiwa na imani ya kuwa Mungu yupo ndipo naye atajidhihirisha kwako.
Yeye asiye amini uwepo wa Mungu, naye Mungu atashughulika naye kwa namna atakavyoona inafaa, kwa kuwa uweza na nguvu na utukufu ni wake milele na milele.
Nilipotoka tu kwenye kibanda umiza baada ya mechi, nikawauliza wenzangu niliokuwa nao kwamba " mmebaini nini tatizo simba kuruhusu magoli kirahisi hivi!?" Wakajibu"mabeki hawapo makini" Nikawaambia," big nipo!! Tatizo ni kipa." Simba haina kipa bora, Manura tu ndo kipa makini na bora msimbazi."...
Nilipotoka tu kwenye kibanda umiza baada ya mechi, nikawauliza wenzangu niliokuwa nao kwamba " mmebaini nini tatizo simba kuruhusu magoli kirahisi hivi!?" Wakajibu"mabeki hawapo makini" Nikawaambia," big nipo!! Tatizo ni kipa." Simba haina kipa bora, Manura tu ndo kipa makini na bora msimbazi."...
Asante mkuu kwa swali hili.
Nami nikuulize kidogo.
1. Je, hiyo jamii ipo wapi hapa Tanzania?
2. Hiyo jamii ndo mtindo wao wa kuvaa vipisi na kukatiza navyo katika mitaa yao siku zote na wakati wowote!?
3. If Yes for no. 2 above, Je, huo utamaduni ni sawa kwako hata kama unaathiri jamii...
Nimpongeze Mheshimiwa waziri kwa majibu mazuri na elimishi.
Kwa upande wangu, mporomoko wa maadili unaanzia kwenye uvaaji; akina dada nguo za kubana, vimini, mipasuo (inayoacha nje sehemu kubwa ya mapaja) na suruali(jeans) zenye chane na kwa kina kaka kuvaa mlegezo.
Uvaaji huo unaweza...
Inaonekana huyu kocha anabahati ya kushinda hata kama ni kwa bahati bahati.
Mwacheni, bati lake laini, mvua kubwa za mwanzo zimelinyeshea lakini bado linaibuka kidedea bila kuvuja. Tunaelekea kwny Masika penye mvua za mawe hapo ndo sijui kama hili bati litahimili. Labda bahati ya lenyewe itawale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.