Recent content by localizer

  1. localizer

    JamiiForums Tanzania Maasai nation

    Pole xanna naayoni inaelekea wewe hujui lolote kkuhusiana na sisi tuachie mila yetu sisi ndo tunaiweza bhana
  2. localizer

    JamiiForums Tanzania Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

    yaan wanaume wa dar wambea kam dada zao
  3. localizer

    JamiiForums Tanzania Dj movies wa Arusha acheni hizo kazi hamuziwezi

    kiukweli bongo nzima hakuna wa2 wanao tafsiri muvi wengi wana jaribu tu kuzielezea af inategemea na eneo ulipo na lafudhi yenu mfano arusha wengi wamezoea lafudhi za muphy d , ommy na master kama best djs uezi lazmisha mtu askilize archichi uyo mbana pua anaskilizwa na wadanapua wenzake sawa ss...
  4. localizer

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

    kitu nimekiona wanaume wa daa wanaweza uku mikoani ni kupaka wanawake rangi kucha kingine ni kutoa huduma sawasawa na wadada(t*go) cjaona kingine
  5. localizer

    JamiiForums Tanzania Taja jina la babu yako mzaa babu yako

    meing'ataki
  6. localizer

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

    af dar masela weng mash*ga unakuta msela kajipodoa kinoma . af amna madem ize kam wa dar yan ukimkonyeza 2 baadae anakuja geto mwenyewe.
  7. localizer

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa mkoani wanapoingia jijini

    iv kuna masela wagumu kama wa chuga mazee labda aotee raru wakisukuma chuga mrax anapigwa mande ad anasepa mwenyew
  8. localizer

    JamiiForums Tanzania Wakikagua vyeti feki majeshi yote (Polisi ,JKT,JKU nk.) kitatokea nini?

    mkulu alipokua udom alsema atarejesha mfumo wa kujisajili urudi vyuoni na co TCU kama awali unafikirri kunaki2 kazuia kweli na vyuo vikuuu ni taasisi huru
  9. localizer

    JamiiForums Tanzania Wakikagua vyeti feki majeshi yote (Polisi ,JKT,JKU nk.) kitatokea nini?

    wakitimuliwa hao kutakua na paka rodi maana hali hii ilivyo ngum uwatimue hao watu wa makaratee unategemea nn kamacio kunyongana uku mitaan naivi wanavyoxema mkulu kaficha hela mbona atazitoa tuuu eb abip fire aone kinachotokea nyani haoni kundule ila akitumia kiooo ataliona 2 cunajua kioo...
  10. localizer

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    apo mkuu atalipa vip wakati jina alilo kopea ndo lishakua feki utamkamata kwa jina lip xx
  11. localizer

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    skuizi ni kidigitali zaid wakizuia tunadownload
  12. localizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

    fimbo ya mbali haiui nyoka akikupotezea na ww mpotezee itakua kuna jamaa 2 amekaba nafas subiri mmalize chuo uone kama ajarud mwenyew
  13. localizer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani anavutia kati ya msichana mrefu na mfupi, mweusi na mweupe, mnene na mwembamba?

    uzuri wa mwanamke ni pale mwanaeme anapo muona bhana anaweza akawa short cheses lakin kamsambwanda kakakuvutia
  14. localizer

    JamiiForums Tanzania Dr. Getrude Rwakatare ateuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum nafasi ya Sofia Simba

    jamani mbona malalamiko mengi ya mama jk mliongea ya dr getrud mnaongea ayo ni ya ccm yaachwe kama yalivyo mbona cdm walipendekeza kina wanje hawakuona damu mpya yakina mama regina lowassssa si haya haya 2 watch ua back
  15. localizer

    JamiiForums Tanzania Bashe: Kuna kikundi ndani ya Idara ya Usalama (TISS) kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    kwaiyo system kumbe ndo imetupotezea ben sanane si ndio
Back
Top Bottom