Recent content by Lobster2021

  1. L

    Mara ya kwanza kutumia vilevi tofauti tofauti haya ndio yaliyonikuta

    Ndugu zangu msijidanganye,mnavuta vitu vya kawaida..Nilikuwaga kama nyie..Nilipiga hiyo kitu ya South Africa(Lesotho specifically) kitu ni grade 1 kabisa tulishare watatu...Sasa nikawa nasema aaah hizi hazinichukuagi na hazina effect kwangu..Sasa Jamaa aliyeileta akapiga paff kama 5 tuu...
  2. L

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Okaaay nimekuwekea video boss..Tafadhali angalia kabla ya kuwa na mihemuko..Football is life kwa wengine...Juzi hapa Mourinho kamtimua mchezaji wa As Roma na kaongea kabisa kuwa mchezaji hatokuwa kwenye timu baada ya kufanya ujinga..Alikuwa hakabi na hadi goli linafungwa alikuwa anaangalia tuu...
  3. L

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Hii hapa..Muangalie Atupele Green anapoteza na baada ya hapo anatembea..
  4. L

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Mashabiki maandazi wote nawapa hii nyingine ya Simba alivyowafunga Kagera Sugar msimu wa 2019-2020..Match ilikuwa level on the score board lakini ghafla dakika ya 69 kocha Meki Mexime anampa maelekezo mchezaji wake on their own half kuwa "Atupele kubaya huko kubaya huko" As a sign,then ghafla...
  5. L

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Sawa ndiyo maana nikasema kama una ushabiki maandazi utabisha..Kaangalie hilo goli tena halafu come back comment hapa..For the love of football lazima uangalie Mpira kama mpira..All in. All possession wise na kucheza Yanga tulikuwa sayari nyingine na hata wachambuzi walisema mmoja wao..This has...
  6. L

    Match fixing,TAKUKURU wachunguzeni Yanga

    Mimi ni Yanga ila kuna wachezaji wa Singida Jana walikula pesa..Goli la tatu la Kibwana shomari linaongea yote, Winger Dario da Silva anamuangalia Mayele na kumsindikiza bila kukaba hadi anatoa assist kwa Kibwana Shomari halafu anajifanya analalamika..Haihitaji jicho la ziada kuona hilo...
  7. L

    Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna vitu vingi sana inabidi kuangalia ili kufikia hayo uliyoyasema 1.Itabidi kulipa pesa ya ziada that is Overtime kutokana na mikataba inavyosema muda wa kazi ni kuanzia saa ngapi hadi ngapi 2.Kuajiri workforce nyingine ya ziada Haya yote yatawezekana kama uchumi wa watu husika yaaani...
  8. L

    Umewahi shuhudia mtu akifa mbele yako ghafla na hukuamini?

    Nakumbuka tarehe 12 Jan 2011 siku ya Mapinduzi, Bus la Sumry kutoka Dar kwenda Iringa tulivyopata ajali kugongana uso kwa uso na Lori la mizigo mbele ya mikumi ukiwa unaanza kuitafuta Kitonga..11 au 13 people walipoteza maisha siku ile..Hii safari ni kama ilikuwa ina ishara ila kiubinadamu ni...
  9. L

    Watanzania na Wafaransa tuna fanana tabia

    Serious na sio series..Unathibitisha WaTanzania tulivyokuwa hatuko serious as umesema...kupuuzia mambo ni culture yetu... Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
  10. L

    Weka heshima kwa kizazi chako kwa kuwaachia urithi wa kiwanda/viwanda

    Kutengeneza generational wealth ni muhimu sana lakini pia make sure unatengeneza generational mangement kama warithi wa mali na waangalizi/wasimamizi wa miradi utakayoiacha.. Mifano iko hai 1. Mo Dewji 2. Bakhressa na watoto wake 3. Wahindi,Whites na Waarabu wengi Changamoto kwa sisi Africans...
  11. L

    Nawezaje kuacha uraibu wa kubeti (Betting)?

    Nilikuwa addict wa gambling asee,Nilikuwa Bingwa wa kuwaelekeza watu kila aina ya option..Nilianza bet 2010 pindi ndiyo betting inaanza shika kasi Nilipigwa 900k Casino pesa ya Ada Casino..Mikeka ndiyo usiseme aseee.. Nilikuwa chuo mwaka wa Pili back in 2014..Nikakaa nikawaza nikaona hii sio...
  12. L

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mkuu Mimi naona unaniruka na naandika mara ya 4 sasa Mimi ni me 26/06 herufi E Yeye ni je 04/04 herefi L
  13. L

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Kaka za kwangu hizi hapa nimerudia kwa mara ya tatu Mimi Me 26/06 Herufi E Yeye ke 04/04 Herufi L
Back
Top Bottom