Recent content by Lobelia

  1. L

    Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    Kwa heshima yako Dr Kitila si vyema kabisa kujiingiza ktk swala hili hasa kuilaumu idara ya uenezi nje ya utaratibu wa chama .
  2. L

    MBATIA kufukuzwa Ubunge?

    Mtaala upo nchi haiwezi kukosa mtaala. Tunapoongelea mtaala wa 2005 ni mabadiliko ya mtaala yaliyofanywa mwaka huo. Mabadiliko hayo yapo na yanadhihirika kwenye Sylabus mpya ya 2005. Kinachowasumbua Mbatia na vilaza wenzake ni uelewa wa nini maana ya mtaala na na vitu gani vinarejelewa mtu...
  3. L

    MBATIA kufukuzwa Ubunge?

    Mbatia anaapia vitu ambavyo havifahamu. hakuna nchi yoyote duniani ambayo haina mtaala. Mitaala ipo na kila ngazi ya elimu Tanzania ina mtaala wake sema neno mtaala si kitu kirahisi kueleweka kwa layman.
  4. L

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    Mwenendo wa Zito unadhihirisha wazi kuwa yeye ni Puppet na wanaomtetea ni mapuppet wenzake. Mwenye macho haambiwi tazama
  5. L

    Majibu ya Zitto juu ya shutma za kuhujumu CHADEMA

    Zito ni Puppet ni wanaomtetea ni mapuppet wenzake.
  6. L

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    kama kuna mtu andhani uropokaji wa nape kuhusu kadi ya slaa ni inshu ya kujadili, basi atakuwa aidha mamluki au mwenye akili ndogo sana. Ile in nonsense inayoweza kuaminiwa mtu asiye na akili tu.
  7. L

    Madaktari Ocean Road watoa tamko kuunga mkono Mgomo; Waweka vifaa chini

    Fikiri kabla ya kuandika. Kikwete anawathamini lucy na mponda kuliko afya za watanzania. mbona mnlaumu madktari tu
  8. L

    Madaktari Ocean Road watoa tamko kuunga mkono Mgomo; Waweka vifaa chini

    Nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri. Je unajua idadi ya madaktari tanzania na ratio yao kwa wananchi? On otherhand do u know how long it takes to train a Medical Doctor? na je unajua ni watanzania wangapi waliosoma PCB lakini wanakimbia udaktari na kuwa Wahasibu na fani nyingine rahisi...
  9. L

    Madaktari Ocean Road watoa tamko kuunga mkono Mgomo; Waweka vifaa chini

    Anyekusaliti ni raisi wako uliyemchagua kwa kipande cha kanga. Hili liwe somo kwetu kuchagua viongozi wanaoweza kututetea. Madaktari wnagoma anaacha kuongea nao anaongea na wazee wa Dar.Stupid nnon sense
  10. L

    Zitto, Makamba wautaka urais?

    Makamba ni Kuwadi mkubwa wa Lowasa fisadi wa kutupwa. uzalendo anaojivalisha ni wakuwachezea tu watanzania. kama ndo unaanza kumtilia mashaka ZITo umechelewa maana sisi wengine tulishamsahau ndani ya makamanda halisi wa chadema
  11. L

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kwanza, kajifunze Kiswahili ujue tofauti ya matumizi ya R na L halafu tumia kichwa kufikiri usitumie tumbo. Kama we ni mwanaume basi ujue wenzako kama wewe waliishia kuolewa. Matatizo ya umeme TZ yana uhusiano wa karibu sana na Lowassa Hafai, ni mwizi na fedhuli Mkubwa Na sasa anataka kutuulia...
  12. L

    Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

    usiwe mvivu wa kufikiri CDM wanachotaka ni haki si Ulafi wa kugawana madaraka kinyume na maelekezo ya chama. Mabwegwe wenzako ccm kazi yao ni kuongezeana siku za magamba. cdm hawataki watu wengi mamluki wanataka watu wachache committed. huu ni uamuzi wa kiume
  13. L

    How to use JamiiForums effectively

    "Kama vyama vya tanzania vitaendelea kuendekeza mfumo wa kugawana madaraka hakika hatutakuwa na maendeleo ya kweli". Kama CDM wangewaacha madiwani Wa arusha bac tungeelekea kulekule kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ya ZNZ ambayo dhahiri inawaumiza wananchi. "Demokrasia ya kweli lazima ifuate...
Back
Top Bottom