Recent content by llux_m

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

    Acha mapokeo mabaya kwa wanawake kiasi hicho ,wanawake ni watu wenye huruma sana tena wavumilivu mno ataelewa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

    Atakuelewa tu wala usihofu kabisa ,hayo ni mapito ya muda mfupi sana fatilia ushauri wa wadau kuwa na imani
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke anataka mtoto, mimi sina uwezo huo

    Pole sana kaka, jambo hill mshirikishe na mkeo ,mwanamke ukimwambia kitu hana shida kuliko kumficha ,tena anaweza kukusaidia zaidi kutafuta suluhisho kwani tatizo lako linatibika ,jiamini hakika mtapata watoto
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kwa ulaji huu, wife mwambie mdogo wako(shemeji) arudi kijijini

    Mkuuu mi naona ,haukupenda tu ujio wa shemejio ,huo mkate umekuwa kisingizio
  5. L

    JamiiForums Tanzania Dalili muhimu za mwanamke aliefika kileleni

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Jinsi mke anavyoweza kumuua mumewe

    [emoji15] [emoji15]
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake Msipoacha Huu Ujinga, Basi Tusilaumiane..

    Labda ndio siku ya kwanza mfundishe pole pole faida yake atakuelewa na siku nyingine yeye mwenyewe ataomba mechi
Back
Top Bottom