Hello!wana jf habari?Hii jumuia ya kuhudumia watu wenye ulemavu wa ngozi walitangaza nafasi za kazi nami ni mmoja wa walioomba nafasi hizo ambazo deadline ilikuwa tar 10 january,sasa naona kimya hadi leo,kuna mwenye info zaidi?naomba anijuze kwa niaba ya wote walioomba hapo.naomba kuwasilisha...
hapana watu hawapo mzigoni,ila kwa taarifa tu ni kwamba,watu wameitwa kwa ajili ya oral interview inayotarajiwa kufanyika this week,so kama hujapigiwa cm mpaka sasa basi c ridhki.keep on applying
Dah!!huyu jamaa anachekesha walionuna yaani umemaliza juzi tu,unaanza kukata tamaa,watu tuko benchi tangu 2008,hii ndio bongo tulia bwana mdogo atleast mwaka hivi
wana jf hivi hawa UDOM walishaita watu kwa nafasi zote au wanaita kwa mafungu tu?Maana mm niliomba post ya IT kama Network Administrator lakini sijapata update zozote.Mtu yeyote mwenye kujua lolote juu ya post hiyo anijuze wadau!maana niko kizani na hali ishakua mbaya street
Hodi hodi wadau,hizi maada za ajira zimenigusa sana nikaona hebu nami nijiunge ilinishee nanyi maana nami niko kwenye mchakato huohuo.Hivi tra waliita na watu wa Information System Auditor au bado?Naomba nijuzwe jamani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.