ajira tatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajira tatizo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by korino, Dec 7, 2011.

 1. korino

  korino JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  habari zenu ndugu zangu! nahisi kukata tamaa na swala la kutafta kazi jamani...so tired! ooh!
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  We ni graduate wa mwaka gan?
   
 3. korino

  korino JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mwaka huu bachelor of business admistration
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Umenichekesha....watakiwa ukae atleast mwaka mmoja...
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  wenzio wamepigwa benchi tangu 2005 na hawajakata tamaa hadi leo,we huna hata mwaka umeanza kulia kulia!
   
 6. L

  LJunior Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah!!huyu jamaa anachekesha walionuna yaani umemaliza juzi tu,unaanza kukata tamaa,watu tuko benchi tangu 2008,hii ndio bongo tulia bwana mdogo atleast mwaka hivi
   
 7. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  keep on applying with hope
   
 8. m

  mtafutaji hacho Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dont loose hope my dear, that is life keep on looking, if possible move door to door office asking 4 a job in if ua serious within month u gona get it bt believe every thing is possible if ua trying, n dont 4get 2 give God 1 priority so as he can make things easy
   
 9. korino

  korino JF-Expert Member

  #9
  Dec 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  thax so much jaman..realy apreciate ur advices!
   
 10. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Uckate tamaa bana mbona mapema sana m2 wangu. Juzi 2.........
   
 11. m

  mziranda Member

  #11
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaaaahhhhh kaka ndio umemaliza juzi tuu hata vyeti bado, hata kijasho cha chuo hakijaisha, aaah kua na subira bana kaka, ila kama huna mtu wa kukushika mkono akakupa mchongo kiukweli utasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaa. ila omba mungu sana na tuma application kama chizi vile
   
 12. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  aisee nikifilia hapo natamani hata niendelee kubaki chuo.ila kutokata tamaa ni siri ya mafanikio.
   
 13. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #13
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkono mtupu haulambwi. Maneno ya wahenga.
   
 14. A

  Agrodealer Senior Member

  #14
  Dec 11, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani mpendwa acha kufuru sisi kaka zako na dada zako tupo miaka sasa bila mafanikio na hatukati tamaa kikubwa usiwe mbinafsi
  kupeana info na wenzio kwani ajira ni bahati ya mtu. usikate tamaa hata kidogo na pale unapokiri udhaifu wako shetani ndipo anapata chance. kama vipi kwenu mnaweza usome mastaz coz sisi kuna watu walisema kazi kwanza wengine wakaenda Ms wamerud wakatukuta tunauza nyago mtaani na sasa tunaitwa wazululaji. Mbayaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 15. b

  bkubwa Member

  #15
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  muda uliokaa mtaani ni mchache sana na bado hujapigika angalau kaa miaka miwili ujifunze ubaili na heshima ya pesa ndio tukupe zamana kwanza umemaliza chuo gan?na una gpa ya ngapi?
   
 16. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  wewe ni BINGWA WA KUKATA TAMAA MAPEMA duh.
   
 17. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Nyamaza, Ukilia utawaliza wengine maana wewe ni mwaka miezi unajua wengine tunazeekea ktk kutafuta ajira na mainterview kibao bado tunamatumaini iweje wewe? ndugu yangu usiogope kucheza hata ligi za mchangani kuongeza kiwango na experience hapo ndipo watu watakuona kisha utatoka tu.
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Angalia usijejilipua kama yule mtunisia..
   
 19. Tarime

  Tarime Member

  #19
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Omba MUNGU Usikate tamaa maisha hayana likizo one day yes
   
Loading...