UDOM watu wa kada ya afya ni next wik | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDOM watu wa kada ya afya ni next wik

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwesiga Florid, Dec 2, 2011.

 1. M

  Mwesiga Florid Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau kwa wale waliofanya pepa UDOM kwa kada ya afya, waliochaguliwa katika interview next wik majina yapo katika wesite yao.
  The University Of Dodoma
   
 2. L

  LJunior Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf hivi hawa UDOM walishaita watu kwa nafasi zote au wanaita kwa mafungu tu?Maana mm niliomba post ya IT kama Network Administrator lakini sijapata update zozote.Mtu yeyote mwenye kujua lolote juu ya post hiyo anijuze wadau!maana niko kizani na hali ishakua mbaya street
   
Loading...