Recent content by lizziebettie

  1. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Namba 3 ni kweli, mpaka mama ananiambiaga E una vistory vya uongo. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. lizziebettie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufukuzia hadi kusafiria penzi

    Dar_geita Sent using Jamii Forums mobile app
  3. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Mtumie dedication ya wimbo mpenzi wako wa zamani

    Making love out of nothing at all-Air supply Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    Inawezekana kweli! Ila mimi naona ni tatizo la kisaikolojia.
  5. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    Hahahaa yaani mpaka mtu unashindwa kushika vitu vizuri, kuoga au kufua. Hii hali ya kula kucha sijui inasababishwa na nini?
  6. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    Hahahaa hata mimi nilikuwa nakula zamani, siku hizi nimenenepa nashindwa kujikunja.
  7. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    Tupo wote! Mama yangu ananiambia nimeathirika kisaikolojia. Nakula mpaka napata vidonda sometimes!
  8. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

    Mimi naliaga nikiwa chooni au wakati wa kuoga
  9. lizziebettie

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe majina ya utani ya walimu wetu...

    Kishungi kwa sababu alikuwa mfupi sana.
  10. lizziebettie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Back
Top Bottom